Home
Unlabelled
January Makamba apeta bumbuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaliyomo Yamo!
ReplyDeleteWADANYANYIKA BWANA, KAZI KWELI KWELI.
ReplyDeletehabari ndo hiyo,ule mchezo wa kulindana cm umeisha,sasa hivi ukishinda kura za wananchi ndo mgombea,sasa tutaona tanzania ya ukweli,maana tulikuwa tunaekewa watu ambao sio chagua la watanzania.nafurahi kuona vijana wengi wamepitishwa kwenye kura za maoni,na uhakika serikali ijayo vijana wa kumwaga,hatujali mtoto wa nani,tunataka vijana washike nchi na tusonge mbele.
ReplyDeletehivi kwa nini na bara isiwekwe serikali ya mseto,rais JK,waziri Mkuu Pro lipumba,waziri wa utalii Slaa,zito kabwe madini,mrema mkuu wa mkoa.
ReplyDeletekeli vijana wanatakiwa washike nchi,kina vito kabwe na ismail jsa wa cuf chukuweni upinzani,muwatoe wazee kina Slaa,tunataka vijana pande zote,ccm wameonesha nia,wapinzani igeni.
ReplyDeleteHUYU JAMAA AKISHINDA UBUNGE AELEWE KUWA WAKINA MAMA NDIYO WALIOMPA NAFASI HIYO, KWA HIYO ASIWASAHAU KABISA.....JAMAA ANA SUPPORT KUBWA SANA YA AKINA MAMA....I HOPE ANALIELEWA HILI.. l like the guy though, jamaa ni mchapa kazi na pia ni msomi, na vile vile ni kijana mwenzetu - akiwa waziri fulani anaweza akabadilisha mambos anyways tutaona.
ReplyDeletehivi huko kwa kina she-makamba mabati hawabadili maana yana kutu ili mbaya ? au ndo hali ngumu ya kiuchumi?
ReplyDeleteMdau
Columbus.
ALL THE BEST JANUARI. IHAVE READ YOUR BOOK AND IF YOU MEAN WHAT YOU HAVE WRITTEN, THEN BUMBULI WILL BE HAVEN OF PEACE. CONGRATULATIONS IN ADVANCE. BUT I PRESUME YOU WON'T BE LEADING THE CONSITITUENCY USING A REMOTE CONTROL, BUT RATHER YOU WILL TAKE MORE OF YOUR TIME WITH THE PEOPLE OF BUMBULI, TRY TO SOLVE THEIR SOCIO-ECONOMIC PROBLEMS. AVOID WORDS. PUT WORDS INTO ACTIONS. THE ITALIANS HAVE A SAYING THAT GOES--- IN BOCCA A LUPPO, MEANING ALL THE BEST. YOU RESPOND BY JUST SAYING 'CREPI'.
ReplyDeleteMdau DAILY NEWS.
Watanzania tusipumbazwe na watu wenye tabia ya "Superiority Complex"
ReplyDeleteHuyu February kwa mtanzamo wangu ni mtu wakupenda kujikweza
Nasikia kichefu chefu haya majina yakiwa yanataka kuendelea kutajwa tajwa mara baba mara mtoto ...
ReplyDeleteTanzania ni yetu sote na Mungu ni wetu sote si Wa FAMILIA YENU TU
Obama aliandika kitabu ...eti na yeye kaandika kuhusu watu wa Bumbuli wakati kule yeye si mkazi ...
ReplyDeleteHahahahahaa
Wananchi wa Bumbuli Zindukeni ...CCM wameshindwa kuweka mtu anayewafaa mwaka huu (HUYU JANUARY ANAIGA HAIBA YA MTU FULANI TU HANA LAKE JIPWA)
Bumbuli must go for another person and not January Makamba
Januari anatafuta Umaarufu tu hasa kupitia mgongo wa babake
natamani nipate matokeo ya kwetu kasulu... maana kuna maaskofu pia ambao wameacha kofia (ganda la chungwa) wakahamia kwenye siasa.... kweli ubunge ni mtamu. Wakipita vijana wa Kasulu itakuwa poa sana: kasulu itakuwa sambamba na Bumbuli kwa vijana.
ReplyDeleteNoana lile kundi la wabunge wapiganaji linasambaratishwa kirahisi sana ,nasikia Seleli nae pia katupwa nje.
ReplyDeleteHizo ni kura za maoni. Majina yanapelekwa kwenye halmashauri kuu ya CCM. Shellukindo atashinda
ReplyDeletehuyo mtoa maoni hapo juu aliyesema bara iwekwe serikali ya mseto na mrema awe mkuu wa mkoa , kanoa hapo , yaani mrema alivokuwa na madaraka alikuwa ni miamri yake ya ajabu ajabu tuuu , watu walikuwa hoi , mara leo katoa amri hivi watu lazima wafuate mara akilala akiamka mara hivi , sijui zilikuwa amri za mkewe ! maana kila siku zinabadilika .. mrema akishika madaraka nahama nchi ...hatumtaki kasha expire
ReplyDeleteJina la January kiboko kweli, yaani watu wanaitwa Mwezi wa Kwanza. Lakini Afrika Kusini pia kiboko, kuna Tokyo Sexwale, jina linanikosha sana hili kuliko yote.
ReplyDeleteJe, kuna February na December pia?
Hongera makamba.
ReplyDeleteDr Hildebrand shayo na John Mashaka mko wapi?????
Au ndiyo mmemtanguliza makamba katika ile asma yenu ya mwaka 2015?
Hongereni vijana
Kwa bara kama ni serikali ya mseto Slaa ndiye waziri mkuu kwa sababu kaonyesha uwezo mkubwa wa kufichua kshifa nyingi kuliko Lipumba pili Slaa anauzoefu bungeni kakaa zaidi ya miaka 15 wakati Lipumba hajawahi kuwa hata mbunge tatu litakuwa jambo si la haki yaani Rais,Makamu wa Rais, Waziri Mkuu,Rais wa Zanzibar, Waziri Kiongozi wote waislamu katika nchi ambayo wakristo na waislamu ni nusu kwa nusu itakuwa ni ukosaji wa maarifa Lipumba atafaa kuwa waziri wa fedha. Mrema mambo ya ndani
ReplyDeleteUS Blogger naye kashinda ama vipi?
ReplyDeleteUkiangalia kwa umakini utaona kwamba inajengwa ngome kuu ya kulinda na kutetea maovu na wizi serikalini. Hakika sasa imefika wakati maana ya siasa tuipitie upya kwani imefanana na uwekezaji binafsi. Kusikia fulani kaula ni kawaida kwa sisi.Kwa siasa hizi najuta kua mtanzania maana wakati wenzetu wanapigania uchumi si twapigania posho na dili za siasa
ReplyDeletewelldone bumbuli labdha this time kutakuwa na maendeleo kwenye jimbo langu la bumbuli. Yangu macho keep what you have promised us January hatutaki Febuary
ReplyDeleteAkimaliza huyo mda wake wa kula nchi atakayefuatia ni February Maminyororo.Huyo ndo watang`oa na mabati yenye kutu waezeke na makuti mana Duh?Mi naona wizi mtupu hamna lolote kutoa CCM na kuirudisha hiyo hiyo.
ReplyDeleteKweli bongo mambo tambarare yaani jamaa haoni hata aibu sehemu anapo hutubia panatia huruma wakiingia madarakani ni kula feza wapiga kula wanabaki vile vile tangu nizaliwe mpaka na zeeka nchi hiko vile vile....
ReplyDeletekidumu chama cha mapinduzi!!!!!
Mpenda nchi
Duh, salaaaaalllehh! Yule mama mwenye kilemba kafuraaahi true true utadhani kaambiwa atagawiwa posho atakayopata mbunge mtarajiwa. Utadhani kaambiwa hatakufa kamwe! Mweeeeh. Job Is true true (Kazi iko kweli kweli)!!
ReplyDeleteChiazi Mchizi