Filamu mpya ya Daudi Tairo Michael.
Kwa habari kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Afadhali waibuke na mastaa wengine wapya bongo. Si kila siku wale wale tuuuuu na movie (mizigo!) yao ya kila siku. Wakiibuka mastaa wengi ushindani utaongezeka na ubora wa movie vile vile! Au vip?? Big up Daudi!!

    ReplyDelete
  2. Kama alivyosema anony wa kwanza,tunataka mabadiliko katika fani hii ya filamu Tanzania,pia msifanye makosa ya kuweka masura ya watu mafisadi kama akina Mkinga kwenye filamu zenu,mtu kama Mkinga yeye siyo msanii wala haelewi lolote juu ya sanaa,'eti anatoa warning'kwa mafisadi wa sanaa na yeye ndiye fisadi mkubwa akishirikiana na wahindi,mjue sinema huonekana hata baada ya miaka 100,na huyu Mkinga si mtu wa kudumu milele kwenye fani hii ya filamu,toeni kabisa jisura lake,kama ni warning maandishi peke yake yanatosha mjitahidi muwe kama Hollywood na siyo mambo ya kienyeji ya kweka jitu ambalo ndilo fisadi la kwanza.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...