Ankal, Siku zote huwa napenda sana kujitambulisha kwa shule niliyosoma. Hiyo ni ngumu, lakini angalau kwa chuo nilichosoma basi (Alumni). Ili wenzangu wanitambue na mimi niwatambue.

Nafasi yangu iwepo katika jamii hii kubwa ya Kitanzania. Sasa juzi niliona kuna Tshirt za chuo nilichosoma, nikaona ninunue maana itanitambulisha na kwa wengine. Na we ankal na wengine mkitaka hiyo tumeni email hapa nanyi mtapata kama mimi; unasema tu chuo ulichosoma, na wewe utapata Tshirt ya chuo hicho. vyuo vyote vipo hapo juu ni mfano tu.

Namba ya simu ni 0712617373
au email:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa Wamarekani suala la "u-alumni" na dhana nzima ya "Alma Mater" ni muhimu sana. Katika vyuo vingi utakuta majengo mengi yamejengwa na ma-alumni. Wakati huu wa msukusuko wa kiuchumi ambapo majimbo mengi hayana pesa za kutosha vyuo vingi vinategemea pesa za wafadhili ili kujiendesha. Wengi wa wafadhili hawa pia ni ma-alumni.

    Itakuwa vizuri na sisi tukianza tabia ya kusaidia mashule na vyuo tulivyosoma. Niliwahi kuligusia suala hili hapa:

    http://matondo.blogspot.com/2009/08/kwa-nini-tusiwe-na-reginald-mengi-hall.html

    ReplyDelete
  2. good stuff, had a similar idea nikajiloga kwenda kuomba official rights, miaka sasa proposal yangu inakula vumbi tu!!

    ReplyDelete
  3. Mtoto wa CoastSeptember 02, 2010

    Ndg yangu, hili ni wazo zuri lakini mbona unatoa tangazo nusu?
    Yaani hizo Tshirt utazitoa bure au kuna malipo na kiasi gani maana wengine tuko sensitive sana na vitu viitwavyo vya " bure " wakati hakika vina gharama zake!

    ReplyDelete
  4. mtoto wa coast...sawa kabisa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...