Ankal akiwa na Eric Shigongo mjini Biharamulo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. mi sikujua kama shigongo nae ni mmoja wapo wa mafisadi

    ReplyDelete
  2. mwe!mwe! ankal,si unawabipu akina ras makunja na hilo nusu koti lao la bei mbaya ??lakini hawakufanyi kitu wewe ankal yao,

    ReplyDelete
  3. Ankal huko hamna dobi?

    ReplyDelete
  4. Acha kumdhalilisha. Unajua yuko kazini.
    Dobi mtafute wewe mtoto mzuri ambaye hujui maana ya field works.

    ReplyDelete
  5. field work sio kisingizio cha uchafu. kama ni hivyo researchers na tour guides wangekuwa wachafu kila siku

    ReplyDelete
  6. Jamani jamani picha za mlalo hizooo si unajua chijiji? na kupata engo ya picha lazima upinde mgongo, ulale chini, kajaribuni muone kupiga picha ilivyo kazi jamani mwe! Mwacheni Ankal wetu achape kazi. Vumbi kwetu kama kawa

    ReplyDelete
  7. Hawa Shigongo ni fisadi tu! Huyu anatumia waandishi wa habari kuchafua siasa

    ReplyDelete
  8. shigogo sikushauri uingie kwe siasa ikizingatiwa wewe ni mfanyabiashara utakuwa ktk kundi la wanafki.... mfano karamagi, lowassa wote siasa zinawatokea pabaya...... na wengine wanaishi ki ubishi tu kma rostam.....

    ReplyDelete
  9. WAANDISHI WA HABARI ACHENI KULALAMIKA MNAPONYIMWA HABARI KWANI NYIE PIA MKO MBELE KUTUNYIMA HABARI.

    ReplyDelete
  10. Kuwa wewe msafi inatosha.
    Acha kutukana watu na maisha yao.
    Just mind your business

    ReplyDelete
  11. Hawaujui udongo wa Biharamulo,kule ni kidongo chekundu,na huyo Ankal sasa hivi hana tofauti na mkimbiza Mwenge,kwani hamuoni hizo picha za kijani anazopost?

    ReplyDelete
  12. Michuzi kila mtu anajua hii ni glob yako na una mamlaka ya kupost maoni au kuyakataa japo unatumia kivuli cha globu ya jamii,.siku zote tunashindwa kuwapa changamoto watu wetu kwa kuogopa kuwauliza maswali ambayo yatawakela. Hakuna asiejua kwamba Eric Shigongo aliandaa makala kwenye magazeti yake ya kumpondea Amina Chifupa juu ya ushiriki wake kwenye mambo ya siasa, akisema Amina hakuwa na adhi ya kuwa mbunge. Eric anasema huu ni wakati wa vijana kushirki siasa,yeye ana adhi ya kuwa mbunge? je wakati ule haukuwa muafaka? tuache kutumia uwezo wetu kuwashawishi watu wamuone mtu flani ni muovu kwa utashi wetu binafsi...ungeupost ujumbe ule labda Eric angejibu na kuomba radhi kwa kumkashifu Amina. Amina aligundua zamani juu kutumia fulsa ile kwenye jukwaa la siasa kuwasaidia vijana, yeye Eric ameshtuka sasa ivi baada ya kuona kina Masha na Ngeleja wanakula bata, tunajua ana matarajio tofauti na dhamira ya kweli, tuombe Jk ashinde ampe walau UDC...Ankal ata ukiitia kapuni lkn nafsi yako itakusuta kwa sababu hakuna asiejua Eric ni mmoja wa wamiliki wa Ze UTAMU, kila mmoja wetu anajua jinsi gani mtandao ule uliathiri jamii yetu, watu waliacha wake zao, watu walifukuzwa kazi walidhalilika kwenye jamii...tutampa vp dhamana ya uongozi kabla hajaungama???????

    ReplyDelete
  13. Huyo shigongo hana jipya

    ReplyDelete
  14. Rafiki yangu Shigongo Tangu awali nilimwambia awachane na siasa itamlostisha sasa unaona ameachakazi zake muhimu anaenda kushabikia ccm wewe ni mtu wa watu sijui kitu gani kilichokulepeka huko.Nakushauli uachanae kabisa na siasa wewe ni mjasiliamali endeleza magazeti,Vitabu vizuri vya hadithi pia nakupongeza kwa kuanzisha chuo cha global nakupa hongera kwahilo

    ReplyDelete
  15. Pure black man politics!
    Get into morden career(politics) to
    even get richer.We absolutely appreciate his commitments to serve the public as motivational speaker, so what on earth!! he wanted to jump into politics as an MP. less brown or Tony robinson never got involved in politics.They loved doing what God blessed them to offer as world greatest motivational speakers.
    I wouldnt advise u to keep trying for the seat,u can offer a lot more to Buchosa people even without Being MP.If it's for the sake of updating status,you are already an MP on the back of our minds.Heed this.
    God bless u to quit the campaign trail.

    ReplyDelete
  16. ankal wetu pole kwa kazi hee jamani ankal wetu kiaraza au kidisk kimeanza kuchomoza itabidi uachane na kuvaa kapelo zinazidisha

    ankal wetu tunakumiss ukerewe najuwa ukimaliza hizo kazi za uchaguzi lazima uje kujirusha na vakesheni zako za ukerewe

    ReplyDelete
  17. Eric Shigongo keep doing what you like, when you like and how you feel. Someone opinion must not be the reality. Sio watu wote waliongia siasa walienda kutafuta utajiri. Mwl. Nyerere, Sokoine, Nkuruma, Nelson Mandela just to mention a few. Wanaheshimika mpaka dunia itapita. I believe mapinduzi zaidi ya kifikra yanakuja. Stay tuned.
    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  18. wewe hapo uliowataja Nyerere,mandela,sokoine labda niongezee Obama,Lumumba,Nkwame.Najua ni opinon yako lakini angalia BACKGROUND za hao watu.Halafu u compare na Erick.Erick is a genuine
    hassler.kwahiyo lazima tu ata hassle sana pale bandarini.Political path development ya mtu ni muhimu sana ktk leadership.

    ReplyDelete
  19. Eric tuko na wewe, hatujali maadui zetu wanasema nini (ulimi hauna mfupa). Big up Eric!!!!! Homeboy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...