Afisa Huduma kwa Wateja wa benki ya FBME,Doroth Duki (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula kwa msimamizi mkuu wa kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Malaika Kids,Bi. Najma Manish kilichopo Kinondoni Studio leo.Benki hiyo imetoa msaada huo leo ikiwa ni muendelezo wa kusaidia vituo vya Watoto Yatima na watu wasiojiweza.
Meneja wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam,Haidary Mwinyimvua (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadi ya watoto wanaolelewa na kituo hicho leo.
Afisa Huduma kwa Wateja,Jovitha Francis akiwa amembeba mmoja kati ya watoto wanaolelewa na kituo hicho leo.
maafisa wa benki ya FBME wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa katika kituo cha Malaika Kids kilichopo Kinondoni Studio.kulia ni Mlezi wa kituo hicho,Najma Manish.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka pole na Swaum,

    Naomba kuelekezwa hicho kituo cha watoto kiko Studio sehemu gani nami nikawatembelee

    ReplyDelete
  2. Jahiriyah Sijakuona kituoni ukitoa misaada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...