STOCKHOLM SWEDEN is Final WHITE PARTY 2010
So there will be NO More JayGONGA Or NYCE JayGONGA WHITE PARTY for 2010

So EUROPE U R Lucky and Make Sure U use this chance and make it happen
so to be in for WHITE PARTY Cities for 2011, If u wont Make it Happen that
Means NO next Year For U coz we cant party with people who don't know how to party.

Be there ON FRI 24th SEPT 2010 ALL EUROPE WHITE PARTY - STOCKHOLM

DAR Stay Tuned For
ICE BLACK MAGIC-DAR DEC 2010
NO MORE Traffic Light Party....

Too much copy CAT this year,
so we let them continue copying and we INVENT IT

MAKE SURE U FORWARD TO A FRIEND,
SELFISHNESS Is A SIN

Frank Gonga Sr.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. VERY STUPID AD I EVER COME ACROSS!

    ReplyDelete
  2. hauna kazi wewe huandaaji !! uwezi kishi kwa sifa .tafuta kazi ya kufanya

    ReplyDelete
  3. Kiinglishi not richabo bora uandike kiswahili tu ndugu yangu !!!

    ReplyDelete
  4. Sijui lini wabonfo tutaendelea, kuna watu wanamake a living kwa sababu ya entertainment ila wabongo lazima watakusukuma chini, nyie mnaijua kiingereza si muongee basi msikike kuliko kuwakandia wengine, hawa jamaa wanafanya vizuri, wanatuletea vitu ambavyo hakuna na tumekaa sana bila ya vitu kama hivi ndio mana wanapata respond, chuki watanzania kama tumelogwa mmezoea kwenda kazini tuu na kulazimisha watu watafute kazi na kazi zenyewe tanzania hakuna.

    Frank, Martin na freddynice good work keep up usiwasikilize wasio na akili wala hawajui wanavyosema coz wao ndio ma loosers na kazi zao za kwenda kazini kukaa kwenye madesk 9am - 5pm bila chechote cha kufanya na mshahara wao wa laki nane na hawajawahi hata kusafiri wanaishia CHINA tu.

    ReplyDelete
  5. hahahaha jaman u invent n they copy?hahahahaha usituchekeshe all white party aint original neither was the traffic light part zote u have just aped(that is copied)wa2 tuna exposure usitudanganye...b humble

    ReplyDelete
  6. Mdau hapo huu, lazima atumie kiinglishi maana wateja wake wote hawajui kiswahili. kwani umesahau mambo ya "back in US/UK......"

    ReplyDelete
  7. Mwenyewe kaiga kwa p diddy halafu hataki wenzake nao watajirike.. Ingekua hii ni original idea yake ningesikia kilio chache but mhhhhhh au ukiiga majuu sio copy cat

    ReplyDelete
  8. Wabongo ndio mana tumeng'angania KISWAHILI tu mtu hata akiongea kiingereza kidogo kuimprove lugha ya kimataifa mnajifanya nyie ndio dictionary mnajua sana inavyoongewa kuliko muingereza yeye mwenye ligha yake, jamaa hapo kaongea kiingereza poa tu ila muweze kujua there is street english and academic sasa nyie mnajifanya mnajua mnaweza mkawa mmeklem academic ndio mana mnataka na academic ije kwenye entertainment hehehehehe

    ReplyDelete
  9. Watu wengine cjui watakuwa mabwege mpaka lini, wewe frank, fredy nice na jay ebu tafuteni kazi za kufanya kutwa kucha mnaangaika na ma party mnazania watu hela wanaokota nyama nyie, hizo party zenu tushachoka kisikiliza zenu, kazi kuuza sura na kuangaika mjini kujifanya ma diddy wadogo angalieni msije mkapumuliwa migongoni na wanaume wenzenu, na wewe frank kama watu watakuja kwenye hiyo white party ebu wasaidie watoto wako kidogo, umemuachia mwenzako anaangaika primark kila cku kuwanunulia japo tunguo twa kuvaa, wewe unaishia kununua nguo za white party bicester wakati kwa mtalaka wako njaa kali, tuki take over usikasilike,
    NI MTIZAMO WANGU TU,ITIKADI IMEZINGATIWA
    Mdau wako UK (karibu na Mbinguni)

    ReplyDelete
  10. i had to write somethn here as a girl...wewe ambae uko UK..umeenda kwa njia za panya fala wewe,alafu personal life za watu zinakuhusu vipi wewe..angalia ya kwako,naamini kwenye ukoo wenu mna matatzo makubwa sana,anza kushughulikia yako na si ya wengine..i attend whyt partyz,they are gud..anzisha na chako tuje..alaah!!!hater mkubwa wewe usio na haya tutakusuta na vyupaaaa!msonyoooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...