Bango la Dk Faustine
JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile ambaye ni mwana libeneke mahiri.
JK akihutubia umati mkubwa wa wananchi katika uwanja wa Zakheem, Mbagala, jijini Dar
Kinamama wakifurahia sera zinazomwagwa na JK
Sehemu tu ya nyomi ya watu waliojitokesa uwanja wa Zakheem
Kinamama wakifurahia sera zinazomwagwa na JK
Sehemu tu ya nyomi ya watu waliojitokesa uwanja wa Zakheem
Dk. Faustine Ndugulile akijiunga na wasanii jukwaani kuburudisha umma
JK akiongea na wana CCM wa jimbo la Ubungo,katika ukumbi wa Ubungo plaza jijini Dar katika awamu ya pili ya kampeni yake iliyoanzia Dar kabla ya kuelekea Morgoro, Tanga na Kilimanjaro.
BOFYA HAPA
kwa picha zaidi za mikutano hiyo.
BOFYA HAPA
kwa picha zaidi za mikutano hiyo.
Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania wenyewe
ReplyDeleteWana-CCM, tusilegeze kamba...uzi ni ule ule. Tuongeze juhudi zetu maradufu.
ReplyDeleteSafi sana. Tuwalize machozi ya damu waongo wa chadema wanaoitaka kuifanya nchi hii iwe kenya nyingine.
ReplyDelete