CHAMA CHA MAPINDUZI
SHINA LA CCM READING
KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.


Anuani: The Warehouse
01 Cumberland Road
Reading
RG1 3LB


Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.

Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaazi kweli kweli...mi sipo huko!!!
    Mdau-Mji wa kusoma!!!

    ReplyDelete
  2. Ndugu wa CCM wa Reading,

    Wakati Mheshimiwa Pius Msekwa alipoongea na wanachama wa chama chenu huko Uingereza, tulipata taarifa kuwa alisema Azimio la Zanzibar halikulihujumu Azimio la Arusha.

    Sikuona taarifa yoyote kuwa mlihoji kauli hiyo. Je, mna habari kuwa Mwalimu Nyerere alilishutumu Azimio la Zanzibar? Je, mnaweza kufafanua suala hili?

    ReplyDelete
  3. Kwanini tunaleta mambo ya siasa huku ugenini? Ni hiki kilichotuleta au kuna ajenda nyingine? jamani kwanini hivi?

    ReplyDelete
  4. njoo kwenye mkutano tutakujibu hoja yako.Tunafanya kisomi kwa data

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...