MAREHEMU SEPHU R. OTHMAN

FAMILIA YA BW. NA BIBI R. OTHMAN INAPENDA KUWAJULISHA KUWA KUTAKUWA NA AROBAINI NA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU SEPHU R. OTHMAN TAREHE 01/10/2010 KUAMKIA TAREHE 02/10/2010 NYUMBANI TANGA MUHEZA
WOTE MNAKALIBISHWA
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA BI. MISHI OTHMAN-0756 066 599

INNALILLAAH WAINAILAH RAAJIUN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KIM JUNG UN.......akitawzwa kuwa General, maandalizi ya kukabidhiwa uongozi!
    Korea Kask.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...