


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya sasa tukutaka tutoe dukuduku Mithupu anabania,ila ushauri wangu tu hivi hawa Rottery Club hawatambui kwamba Bukoba kuna tatizo kubwa la madawa mahospitalini?hiv wanashindwa kweli kwenda kugawa dawa au kujenga kazahanati ka macho kenye thamani ya M 18 na ikawasaidia watu au kununua zile ambulance ndogo za Townace zenye kugharimu M 15 badala ya kujenga bembea tena mbaya zaidi kwenye ufukwe wa ziwa na kisha wanamualika kaimu mkurugenzi aje kusherehekea wakati wanaharibu mazingira...ah Michuzi we ibanie hii ila ujumbe utafika sio kila kitu kifanywe na serikali tu.
ReplyDeleteSasa nyie mtavunja bembea. Hizo ni za watoto hebu acheni.
ReplyDeleteSASA HIZI NI ZA WAZEE AU WATOTO? KAMA ZA WATOTO MBONA HAWAONEKANI KWENYE PICHA?
ReplyDeleteha ha haaa mdau hao wanaobembea ndo watoto kwani hukuona picha ya juzi wale waliokwenda kwenye michezo india ? zilikuwa za mawaziri na maofisa ubalozi za wana michezo marufuku, kila kitu uzandiki tuuuuuuu!!!!! wamesema bembea za watoto baba zao wanabembea kaazi kwelikweli!!
ReplyDeleteMichuzi tunaomba ututmie hii picha baada ya mwaka au miezi michache. Mdau hapo juu ni kwamba watoto wanahaki ya kucheza pia kila mahali ambapo pako wazi. Tunashukuru kwa wachache kujuwa umuhimu wa watoto na viwanja vya kuchezea, na siyo kucheza kwenye vibambaza vya nyumba tu. Offisi za arith ziliuza kila mahalia kwenye miji hakuna plan tena ya watoto, watoto siyo taifa kwa mawazo yao. Taifa ni kwa watu wazima wanaohitaji mahali pa kujenga tu.
ReplyDeleteKubembea wazee si hoja; kwani hizo bembea hazijaundwa kwa uzito wa watoto wa shule za chekechea! Wacha nao wajikumbushe utoto wao - ala; after all wao ndio wamejitolea inabidi wa-test kama zinafanya kazi.
ReplyDeleteWasix2 wangu tu ni kwamba, wananchi hawaridhiki na hii misaada. Majuzi haox2 Rotarry Club wametoa vyandarua kwa wazee, maeneo ya Mwanza; wazee wakadai vitanda - eti watalalaje na kutumia vyandarua wakati hawana vitanda.