Mr. Matthew Salukele (Marehemu)Date of Birth: 22/02/1941 - Died: 09/28/2010 @ 4:30 pm at St Ann’s Hospital Columbus Ohio.

Happyness na David Salukele wanasikitika kuwataarifu habari ya msiba wa mpendwa baba yao,Mzee Matthew Salukele uliotokea jumanne Sept 28,2010 saa 10 unusu(4:30pm),St Ann's Hospital,Columbus Ohio.

Tunaomba msaada wenu katika kukamilisha kusafirisha mwili wa marehemu Tanzania,Gharama za kuusafirisha mwili zinafikia $25,000.
Unaweza kusaidia kupitia Chase Bank Acc #917118267 Routing # 044000037.

Msiba upo Add:
1427 hideaway Woods Dr
Westerville OH 43081

Tunatanguliza Shukrani kwa msaada wako wa hali na mali utakaotoa hasa kwa kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa Baba yetu.

Baba Tulikupenda Sana lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi,kimwili hatuko pamoja,kiroho tutakua nawe siku zote mpaka hapo Mwenyezi Mungu atakapo tukutanisha tena,
Jina lake lihimidiwe.

For more information Please contact:
David Salukele cell# 614-859-9602
Walter kalosi cell#614-537-1448
Happiness Salukele cell#614-772-5126
Adella Njau cell#614-446-9710
Dorah Njau cell#614-589-5685
Jacqueline Mjengwa Cell# 614-804-5237

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. POLENI SANA NDUGU WOTE WAFIWA, TUNAMUOMBA MWENYEEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MZEE WETU MAHALA PEMA PEPONI AMEEN,NAKUOMBENI WAFIWA KAMA UWEZO UPO MSAFIRISHENI LAKINI KAMA UWEZO HAKUNA HAINA HAJA
    YA KUCHANGISHA, AZIKWE HAPOHAPO NA MBINGUNI ATAFIKA TUU.MSINIELEWE VIBAYA LAKINI DOLA ELF 25 KWA SAFARI TU HAPO BADO MAZIKO, MATANGA NK.!!

    ReplyDelete
  2. MPOLE CHANE BATAMA.MBE NU MUHANGAZA WACHU?MBWILA BWANA TUBAHIGE.

    ReplyDelete
  3. Wana familia Pole sana na msiba mkubwa wa mzazi wenu,Wana Columbus umoja ni nguvu najua umoja upo mungu awasaidie kuweza kuchanga hiyo hela ikamilike tumrudishe baba Tanzania kwenye makao yake ya milele.Kila la Kheri najua mtaweza.Hii ni challenge yenu wote watanzania wa Columbus hii inaweza kumtokea mtu yeyote.Mungu awatie moyo wa huruma na Uzalendo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...