Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana (kushoto) akiwa ameongozana na Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la Xinhua - China Mr. Liu Yue mara baada ya kumpokea jana usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Katikati ni Mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.
Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la la Xinhua - China Mr. Liu Yue akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana, Mkurugenzi wa Shirika la Habari nchini (TBC) Bw. Tido Muhando na mwakilishi wa shirika Xinhua nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Clement Mshana akiwa katika mazungumzo mfupi na Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la la Xinhua - China Mr. Liu Yue jana usiku jijini Dar es salaam mara baada ya kumpokea. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Raphael Hokororo, Mshauri wa masuala ya siasa wa ubalozi wa China- Tanzania Mr. Fu Jiqun na Mwakilishi wa shirika Xinhua nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.Picha na Aron Msigwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Serikali ni lazima isifuje pesa za masikini!

    Najua wenye penda vya usasa watakuja juu, kama nitamka:

    Hivyo viti vinamaliza pesa za masikini!

    Zaidi, vinachuja kwa jasho la kuvikalia bila ya matumizi ya air-conditioner, ambayo nayo inakula umeme zaidi na kuzidi kula pesa za masikini wetu!

    Hata wakoloni hawakuwa na viti hivyo. Walikuwa na viti vya kusukwa vilivoendana na ufukutu wa joto (hasa la Dar es Salaam)!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...