Home
Unlabelled
Mama Salma Kikwete afanya ziara jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KHAA!.....sina ninachokielewa hapa. Kwaniii....mhn let me keep quite.
ReplyDeleteCCM yazuia wagombea kushiriki midahalo TBC
ReplyDeletehttp://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/4548-makamba-awaweka-pabaya-wagombea-ccm.html
INAKUAJE MAMA HUYU ANAFANYA KAMPENI KWA KUTUMIA NGO AMBAYO HAIJAANDIKISHWA KUWA CHAMA CHA SIASA? PIA ANATUMIA PESA ZA SERIKALI KUFANYIA KAMPENI CCM? WATANZANIA LAZIMA TUBADILIKE NA KUONA SHERIA ZA NCHI ZINAFUATWA.
ReplyDeleteivi leo TAMWA, TAWLA,HAki ELIMU wakiamua kuwapigia kampeni CHADEMA si watafutiwa usajili wao???
ReplyDeleteHuyu Mama Salma anatumia hela ya nani kufanya kampeni za CCM? Makamba! uyu Mama nae yupo kwenye ratiba zetu za kampeni?mnamgaramia au?
HIVI HII WAMA NI TAASISI YA CCM? KWA UELEWA WANGU SIO YA CCM. SASA INAKUWAJE HUYU MKE WA KIKWETE ANATUMIA HII TAASISI KUFANYA KAMPENI ZA CCM?
ReplyDeleteSijaelewa WAMA na uchaguzi vimekaeje haapa?
ReplyDeleteMmh Auncle naomba unikumbushe WAMA ni taasisi ya CCM au..
ReplyDeleteMaswali meengi! Mtajibeba mwaka huu tena kwa mbeleko za mgomba! Haluu!
ReplyDeleteAluta continua!