Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam kupitia CCM, Dr. Faustine Ndugulile katika mkutano wa uhamasishaji kwa wanachama wa UWT kuhusiana na Uchaguzi Mkuu ujaoMgombea ubunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM,Dr. Milton Makongoro Mahanga (kushoto) amkimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Ilala,Mussa Azan Zungu (kulia) wakati wa mkutano wa uhamasishaji kwa wanachama wa UWT katika Uchaguzi Mkuu ujao.katikati ni mgombea ubunge wa jimbo la Ukonga,Eugen Mwaiposa
Aliekuwa mshindani mkubwa wa Jimbo la Temeke Salim Chikago (nyeupe) akipongezana na mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo,Abbas Mtemvu katika mkutano huo ambao ulifanyika jana na kuhudhuliwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete
Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake (WAMA) Mama Salma Kikwete akisalimiana na kina mama wa Temeke wakati akiwasili katika mkutano wa uhamasishaji kwa wanachama wa UWT kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. KHAA!.....sina ninachokielewa hapa. Kwaniii....mhn let me keep quite.

    ReplyDelete
  2. CCM yazuia wagombea kushiriki midahalo TBC

    http://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/4548-makamba-awaweka-pabaya-wagombea-ccm.html

    ReplyDelete
  3. INAKUAJE MAMA HUYU ANAFANYA KAMPENI KWA KUTUMIA NGO AMBAYO HAIJAANDIKISHWA KUWA CHAMA CHA SIASA? PIA ANATUMIA PESA ZA SERIKALI KUFANYIA KAMPENI CCM? WATANZANIA LAZIMA TUBADILIKE NA KUONA SHERIA ZA NCHI ZINAFUATWA.

    ReplyDelete
  4. ivi leo TAMWA, TAWLA,HAki ELIMU wakiamua kuwapigia kampeni CHADEMA si watafutiwa usajili wao???
    Huyu Mama Salma anatumia hela ya nani kufanya kampeni za CCM? Makamba! uyu Mama nae yupo kwenye ratiba zetu za kampeni?mnamgaramia au?

    ReplyDelete
  5. HIVI HII WAMA NI TAASISI YA CCM? KWA UELEWA WANGU SIO YA CCM. SASA INAKUWAJE HUYU MKE WA KIKWETE ANATUMIA HII TAASISI KUFANYA KAMPENI ZA CCM?

    ReplyDelete
  6. Sijaelewa WAMA na uchaguzi vimekaeje haapa?

    ReplyDelete
  7. Mmh Auncle naomba unikumbushe WAMA ni taasisi ya CCM au..

    ReplyDelete
  8. Maswali meengi! Mtajibeba mwaka huu tena kwa mbeleko za mgomba! Haluu!

    Aluta continua!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...