Home
Unlabelled
mh. mrema ajinadi katika mchakato wa TBC 1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wana Vunjo,
ReplyDeleteNaombeni mpeni KURA Lyatonga Mrema awe Mbunge wenu.
Tafadhali Michuzi,
ReplyDeleteTuwekee full clip ya huyo mgombea wa Chadema na kama ikiwezekana mdahalo mzima.
Ahsante.
Tunataka midahalo ya wagombea "urahisi" ili tuone wanavyobwabwaja.
ReplyDeleteINGIKUWA VIZURI ZAIDI KAMA UNGEWEKA MICHANGO YA WAGOMBEA WOTE.
ReplyDeleteAnkal tunaomba full clip mdahalo ni mzuri sana huu tunataka kuwasilikiliza wagombea wote pamoja na sera zao. Pleaseeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteKWA MAONI YANGU KWA KWELI BWANA LYATONGA MREMA HANA SERE YOYOTE YA KUWASHAWISHI WATU WAMPE KURA.KWANI NILICHOKIONA KWA BWANA LYATONGA NI KUNADI VYEO VYAKE KWA KWELI HANA JIPYA. LABDA HUYO BWANA MREMA MDOGO ANAONEKANA SERA ANAYO JAPO TUMESIKIA KIPANDE KIFUPI CHA SERA ZAKE.HEBU TUWEKEE WAGOMBEA WOTE WA3 TUJUE PUMBA ZIP NA MCHELE UPI,LAKINI KWA BWANA LYATONGA NI YALEYALE KILA MWAKA. NAMALIZIA KWA KUSEMA LYATONGA APMZIKE AWAACHE HAO VIJANA WA2 BWANA LEMA NA BWANA MREMA MDOGO WAPAMBANE
ReplyDeletehuyo mgombea wa chadema anamuiga mbowe kuongea,kweli kazi ipo,hizi vijana ni kwamba shule zero ama,kuwa kama wewe,maana mlianza kuvaa magwanda now mnamuiga kuongea.ndo maana nilikuwa namkubali chacha wangwe,alikuwa hakubali kuburuza na mwenyekiti
ReplyDeleteMbona umemkatiza mgombea wa Chadema anachotaka kuokoa elimu na vipaumbele vingine 6.
ReplyDeleteWewe unaupendeleo sana kwasababu Augustino Mrema anamshabikia JK ndio maana umemwekea dk 7, mbona huyo mwana ccm hatujamsikia kabisa, au ndo mbwabwajaji
Unadanganya huwezi kuuuondoa UMASIKINI. kama ulishindwa ASUBUHI utaweza JIONI? mbona husemi ulivyo
ReplyDeleteruhusu VIZEE wauliwe kule shinyanga unadhani tumesahau?
Michuzi vipi wewe? Yaani jamaa wa CHADEMA kaanza kutaja ufisadi tu ukaamua kumkata. Wewe ndo ulifisadi pesa za shule nini?
ReplyDeleteMICHUZI UNAWABANIA CHADEMA
ReplyDeletegood mrema you are talking tangible stuff
ReplyDeleteCHADEMA guy ameshinda debate hiyo. Amepangilia hoja zake na sio kama Lyatonga aliekuwa ana dance around everywhere.
ReplyDeleteHuyo wa Chadema ni mzrui zaidi. Kumbe tunao vijana wa kitanzania wanaoweza kupambanua "statement of the problem" na chadema inao wengi maana nilikuwa namfahamu zito na yule kijana wa ubungo tu sasa nimeona kumbe wapo wengi, safi chadema!
ReplyDeleteshimboni shafu mremaa aika mbe mremaa nani atakupa urais jamaa angu mbona unaangaika sana naenda marangu kali kalime
ReplyDeleteMimi niliangalia kwenye TBC huo mdahalo wote,kwa kweli kama utaambiwa utoe matokeo ya mdahalo huo ungekuwa kama ifuatavyo:
ReplyDeleteMREMA WA CHADEMA: 85%
CCM: 10%
MREMA WA TLP: 5%
HIVYO BASI WANA VUNJO WOTE MPIGIENI KURA MTU ALIYEWEZA KUELEZA SERA ZAKE VIZURI.
CHADEMA damu inachemka, kwakweli tunahitaji CHANGE jamani, tujenge mashule yetu kwa viwago, sio tunaambiwa shule zimejengwa ukienda unashikwa huzuni! walimu nao walipwe ONTIME!! hivi kwanini mpaka leo kuna hili tatizo? wakati FIRST LADY wetu alikuwa mwalimu!!? si angesimamia sana hiyo department kuhakikisha walimu wanaangaliwa vizuri! elimu itakuja kweli wakati mwl hajalipwa miezi 6!! JAMANI WATANZANIA tutumie kura zetu vizuri, wakati unapiga kura FIKIRIA: mwalimu,wafanyakazi, vijana wanaozagaa hakuna kazi, viwanda vilivyouzwa,makasheshe yote ya EPA, TANGOLD, KIWIA,RICHMOND..n.k, mikataba ya miaka 25 ya kutumaliza, mama mja mzito pale sakafuni mwananyamala, muhimbili, msisikie jamani, ni mateso sana hakuna kujisitiri, yaani aibu kubwa. MFIKIRIENI MWANANCHI ANAYEISHI KWA DOLA 1! alafu ndio huyo anaombwa pamba,wembe, hongo n.k kabla hajajifungua! kwenye nchi iliyojaa madini wanajilimbikizia wengine! TUMUOGOPE MUUMBA VIONGOZI WETU.
ReplyDeleteAsante kwa Mdhalo ingawa Kiduchu! Mzee Mrema kwa ufupi Historia ni nzuri naona wakti huu aandike kitabu na kuondoka kwenye uwanja wa siasa: Saa za jioni Babu Mrema. Huyu kijana wa Chadema naona ameanza na mzii wa tatizo Elimu. Tunaona mnapoweka clip walau zitoe nafasi sawa kwa wana mdahalo wote, hatusikia wa CCM.
ReplyDeleteMzee Mrema "mpaho waitu' (Kwaheri Mzee)- Mshiu Jonathan
kwa mtazamo wangu nafikiri haka ka bwana mdogo kanafaa kuwa mbunge kwa sababu anaeleza what he is going to do not like that old man mrema he is talking about what he did back in 40`s
ReplyDeleteCHADEMA MREMA AMESHINDA!!!! HOJA NZURI ANGALAU AMEKATISHWA KIDUCHU TU!!!
ReplyDeleteSiwezi kutoa maoni ya nani alishanda huo mdahalo kwa sababu wa vyama vingine atakuwasikia.
ReplyDeleteNachoweza kusema Mrema Uzoefu unamsaidi kuweza kushinda ili jimbo anaongea kwa kuangalia fursa na kujenga kwa kuendeleza maendeleo yaliyofikiwa kabla ya mbunge mpya na kurekebisha kwenye kasoro.Yeye anagusa watu moja kwa moja sio kusoma INSHA,kampeni ni pahala pa kuonyesha ubora wa propaganda na namna ya kuonyesha namna mtu anavyoweza kutumia fursa zilizopo kujenga msingi wa maendeleo.
Bravo Augustino Lyatonga Mrema.