Bwana Michuzi naomba msaada tutani,
Nina ndugu yangu ambaye tumepoteana tangu mwaka 1983 anaitwa Levenson a.k.a Bode Sichone, kwa mara ya mwisho ilisemekana ameelekea mkoa wa Morogoro iether kwenye migodi au biashara nyingine, naomba kama kuna mtu mwenye taarifa naye awasiliane nami kupitia blog hii ya jamii au kupitia simu namba +447404503109 ya huku Ukerewe,
Nomba kuwasilisha.
Dan.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. HUYO JAMAA ALIKUWA MENEJA WA KIWANDA CHA NGOZI MOROGORO -TANNERIES ALIKUWA ANAKAA FORESTHILL KARIBU NA KWA MZEE DENDEGO UKIFIKA PALE UTPATA TAARIFA ZAKE ZOTE NAHISI ATAKUWA KAHAMIA KWENYE NYUMBA YAKE KIHONDA

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe uko ukerewe au Uingereza.Inabidi upande ndege hadi Morogoro!!!

    ReplyDelete
  3. huyo bwana namfahamu ni diwani siku hizi

    ReplyDelete
  4. wewe ndio umepotea wala siyo ndugu yako. wewe ndo unatafutwa kwa hiyo jisalimishe. Acaha mabox uje mologolo.

    ReplyDelete
  5. Unasema ni diwani Diwani wa sehemu gani maana Moro ni kubwa

    ReplyDelete
  6. Namfahamu hebu mwulizie kwa mwajiri wake mpaya kwa kutumia hii namba +255754777775

    ReplyDelete
  7. Sasa hapo mmemsaidiaje huyo ndugu?
    Mpeni mawasiliano ili aweze kuwasiliana na ndugu yake!!!
    Kama hamkuwa na nia hiyo ingependeza sana kama mngalibaki kimya hata mimi nisingewaandikia!
    Mnatakiwa kutambua nguvu ya TEKNOHAMA.

    ReplyDelete
  8. Wewe uliwakatia ndugu zako mawasiliano. Ulifikiri watakuomba msaada ndo maana ukapotea. Halafu unajua kupiga simu kutoka Tanzania ni gharama kubwa. Sisi leo ndo unatudanganya kuwa eti unamtafuta ndugu yako. Ama maisha yamekunyokea ndo unaanza kuwatafuta ndugu zako ama unataka kurudi nyumbani unatafuta sehemu ya kufikia.

    Mdau USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...