Bwana Michuzi naomba msaada tutani,
Nina ndugu yangu ambaye tumepoteana tangu mwaka 1983 anaitwa Levenson a.k.a Bode Sichone, kwa mara ya mwisho ilisemekana ameelekea mkoa wa Morogoro iether kwenye migodi au biashara nyingine, naomba kama kuna mtu mwenye taarifa naye awasiliane nami kupitia blog hii ya jamii au kupitia simu namba +447404503109 ya huku Ukerewe,
Nomba kuwasilisha.
Dan.
Nomba kuwasilisha.
Dan.
HUYO JAMAA ALIKUWA MENEJA WA KIWANDA CHA NGOZI MOROGORO -TANNERIES ALIKUWA ANAKAA FORESTHILL KARIBU NA KWA MZEE DENDEGO UKIFIKA PALE UTPATA TAARIFA ZAKE ZOTE NAHISI ATAKUWA KAHAMIA KWENYE NYUMBA YAKE KIHONDA
ReplyDeleteSasa wewe uko ukerewe au Uingereza.Inabidi upande ndege hadi Morogoro!!!
ReplyDeletehuyo bwana namfahamu ni diwani siku hizi
ReplyDeletewewe ndio umepotea wala siyo ndugu yako. wewe ndo unatafutwa kwa hiyo jisalimishe. Acaha mabox uje mologolo.
ReplyDeleteUnasema ni diwani Diwani wa sehemu gani maana Moro ni kubwa
ReplyDeleteNamfahamu hebu mwulizie kwa mwajiri wake mpaya kwa kutumia hii namba +255754777775
ReplyDeleteSasa hapo mmemsaidiaje huyo ndugu?
ReplyDeleteMpeni mawasiliano ili aweze kuwasiliana na ndugu yake!!!
Kama hamkuwa na nia hiyo ingependeza sana kama mngalibaki kimya hata mimi nisingewaandikia!
Mnatakiwa kutambua nguvu ya TEKNOHAMA.
Wewe uliwakatia ndugu zako mawasiliano. Ulifikiri watakuomba msaada ndo maana ukapotea. Halafu unajua kupiga simu kutoka Tanzania ni gharama kubwa. Sisi leo ndo unatudanganya kuwa eti unamtafuta ndugu yako. Ama maisha yamekunyokea ndo unaanza kuwatafuta ndugu zako ama unataka kurudi nyumbani unatafuta sehemu ya kufikia.
ReplyDeleteMdau USA