
Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin ambaye ni gwiji wa ubunifu wa mitindo ya mavazi amenaswa usiku huu na Jiachie Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere alipokuwa akimpokea mumewe Mzee Khamsin kutoka huko Ughaibuni ambaye ametua rasmi kwa ajili ya onyesho la usiku wa Kanga za Kale litakalofanyika ijumaa usiku katika ukumbi wa Diamond VIP.
huyo mwanamama anapenda mishughuliko, wakati nyumbni kwake kuko shagala bagala huwezi amini ni kwake, kupo ovyo san duka nalo ffull maronya ronya jamani vyote ving'aavyo si dhahabu lol! michu ibane tuu hii, utaisoma japo kimyakimya!!
ReplyDeletemh ama kweli si kila kingaracho ni dhahabu mi nilidhani kwake ni pazuri sana.
ReplyDeleteWe mchangiaji wa kwanza ni muongo na mnafiki. Mimi nimefika kwa Dada Asia na nimekuona ni kuzuri kabisa. Pili, mbona hutaji jina lako? Nina hakika hujafika kwake wala humjui. Nadhani una chuki zako za binafsi na issues zinazokusumbua au unajua huwezi kumpata demu kama yeye. Get a life! Mimi M. Minja (Miss). DSM.
ReplyDelete