mchezo kati ya Simba na Mtibwa Sugar uliofanyika leo Septemba 29, mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri wa Morogoro. Wekundu wa Msimbazi waliibuka kidedea kwa bao 1-0 lililopatikana kwa njia ya matuta, kupitia mchezaji Radhid Gumbo , baada ya kuangushwa katika eneo la hatari, Emmanuel Okwi na mchezaji wa Mtibwa Sugar, Salvatory Ntebe, penati hiyo ilitolewa na Mwamuzi Alex Mahagi kutoka Mwanza. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii. Kikosi cha Simba
Kikosi cha Mtibwa Sugar
Benchi la Mtibwa Sugar
Benchi la Simba
Patashika langoni pa Mtibwa Sugar





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka Mithupu,
    Hawa mtibwa juzi kwenye kipindi cha michezo cha Radio1 niliwasikia wanasema eti simba hawana kitu na ni sawa na timu ya daraja la pili au la tatu. Sasa jana ilikuwaje wakalegea? Au yale mambo ya mtoto mdogo yake nepi.

    ReplyDelete
  2. Mzee Michuzi

    Nataka kutoa hoja hivi unakumbuka ligi yetu ilivyokuw ana ushindani miaka ya 80s and 90s
    Timu kama
    Tukuyu Stars
    Coastal Union
    African Sports
    Ushirika Moshi
    RTC kigoma
    Pamba Mwanza
    Milambo Tabora
    Pillsner
    Sigara
    Reli Morogoro
    RTC kagera

    Enzi hizi ndugu yangu tulikuwa tuna a lot of talent but not international exposure.
    Bado sijaona talent ya vijana wa sasa hivi kulinganisha na wachezaji kama
    Nteze John, Gagarino, Kizota,Husein Masha,Aswile,Both Mogellas, Mtaalam Ali Maumba
    Wakina Abbas Mchemba,Iddi and Mrisho Moshi, Duwa saidi,Lunyamila.Wastara Bari bari , Sanifu Lazaro.
    Mwameja, Iddi Pazi, Athumani China, Mzee wa kiminyio Madaraka Husein, Malota Soma,Isa Athuman, Kasongo Athuman
    Deo Njohole, Pondamali, Mzee Ramadhani Lenny..i can go on and on and on....

    Sasa hivi timu ni Yanga na simba hama ushindaji....
    Hivi unakumbuka Yanga ilivyokuwa inateswa na Coastal union, au jinsi ilvyokuwa ngumu kushinda KIRUMBA vs Pamba ya Mwanza.

    Mbuyi Yondani wa Reli ya Morogoro alivyo kuwa anaitesa yanaga.

    Kuna team nimeisahau jina walikuwa kama wamepewa steroids ...oh yeah nimeikumbuka Mecco ya mbeya.
    Kuna kijana alikuwa anaiywa Ephreim Kayeta. Hawa jamaa dakika ya 89 wanacheza kama ndio mpira umeanza.

    Wachezaji wa sasa afya hamna, do u rememmber list ya Tukuyu stars wale wanyakyusa walikvyokuwa vipande vya warume.
    Au ushirika moshi wakina power Kyela....

    MI NAONA SOCCER YETU IMEGAIN INTERNATIONAL EXPOSURE NA TUNAMSHUKURU RAISI WETU , FOR ONCE WE HAVE PRESIDENT WHO LIKES SPORTS.
    ILA WE DONT HAVE TALENTED PLAYERS AS 80S AND 90S.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...