Greetings
SOMA POETRY SESSION
SOMA POETRY SESSION
on Friday evening
3rd September at SOMA BOOK CAFE around 7pm.
The theme is ELECTIONS (Voting and other relevant elections subjects) please confirm if you will be able to perform so we put you on the programme. You are welcome to listen as well and bring friends.
Mnakaribishwa wote katika USIKU WA MASHAIRI WA SOMA ambao utakuwa Ijumaa jioni tarehe 3 Septemba kuanzia saa 1 usiku katika Mkahawa wa VITABU wa SOMA.
Mada ya usiku huo ni UCHAGUZI na masuala yanayohusu upigaji kura. Karibu kutoa shairi lako au kusikiliza ya wengine.
Karibuni Sana.
Call for directions on 0715/0784 806806.
Emma

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...