Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru akimkabidhi Torino Edward Pechaga mkazi wa Dodoma na mtumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) funguo za gari aina ya Hyumdai i10 alilojishindia katika promosheni ya Shinda Mkoko inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, zaidi ya magari 100 yanashindaniwa katika Promosheni hiyo na tayari washindi 30 wameshapatikana,(katikati)Mtaalamu wa mambo ya bidhaa na mahusiano ya wateja Yvonne Maruma.Mshindi wa gari la Promosheni ya Shinda Mkoko inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania B w. Torino Edward akijaribu gari lake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo leo. Kushoto kwake ni Meneja wa Kitengo cha Mahusiano ya wateja Deus Ntukamazina.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru (kulia)akimuangalia mshindi wa gari la Shinda Mkoko Torino Edward na ndugu zake wakiangalia gari hilo mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkurugenzi huyo wa Vodacom leo, zaidi ya magari 100 yanashindaniwa katika Promosheni hiyo na tayari washindi 30 wameshapatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...