Waumini wa dini ya Kiislam wakiwa katika ibada ya Eid el Fitr,ibada hii imeadhimishwa leo ulimwenguni kote baada ya kumalizika kwa mfungo mtukufu wa Ramadhan.huu ni msikiti wa Kichangani,Magomeni Mapipa,asubuhi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. SI KWELI UTURUKI ILIKUA ALHAMIS BONGO KUFUNGA WANACHELEWA LAKINI KUFUNGUA HAKUNA TABU 28 AU HATA 29 BUKHERI WA HAMSA ISHIRINI

    ReplyDelete
  2. Inshallah,mwezi umeandama,Eid El fitr tumeiona.Mwenyezi Mungu Subian Watallah ametujalia kufunga Ramadhan na kusheherekea Eid.
    Back to square one.Nobody cant stop me doing it.

    ReplyDelete
  3. Mimi Mwislamu na sijafunga miaka 30 sasa. Naona tunapelekana tu,.

    Freedom of Speech Michuzi is important. Live Free or Die.

    Beer is my life.
    Sex is my addiction.
    Religion is my enemy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...