INAVYOONEKANA KWA MBELE
NJE KWA NYUMA.

KWA MAWASILIANO NA MUUZAJI,NAMBA HII HAPA
0654 317 287

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. NIMEIPENDA GARI ILA MI NAHITAJI TU HIZO REAM ZA MATAIRI MBILI MAANA GARI YANGU ILIIBIWA REAM ZINAZOFANANA NA HIZO. UNIPIGIE KUPITIA 0767-345678/MSONGORA ISSA

    ReplyDelete
  2. Mbona namba haipatikani? Nimepiga ssa hivi saa 7kamili mchana huu hupatikani. Utafanyaje biashara sasa?

    ReplyDelete
  3. Bwana Michuzi uwe unaangalia vitu vingine kabla ya ku-post. Hii gari inaonekana ipo kwenye yard Japan na ina namba za usajili za Japan lakini namba ya simu ya muuzaji inaonyesha yupo Tanzania. Tueleweje?

    ReplyDelete
  4. NINA MILIONI 3 cash. WASILIANA NAMI UKITUMIA NO HII 0755 095 301

    ReplyDelete
  5. Hivi biashara za kitz zote ni machinga? make nenda rudi kutaja bei huo haipo hiyo

    ReplyDelete
  6. Anony wa Wed Sep 08, 12:51:00 PM, hili gari lina rim ambazo ni standard, siyo alloy wheels, ambazo Tanzania tunaziita sports rims. Hizo zinazoonekana kama alloy wheels ni wheel caps, tena za plastiki.

    ReplyDelete
  7. Gari nzuri,rangi nzuri ..lakini naogopa mlimani city--watanichukulia tena..kwani siku hizi RAV4 na GX 100 ndio zipo sokoni sana

    Chaos

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...