JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Mvomero, Morogoro, Mh. Amos Makalla katika uwanja wa michezo wa Mvomero Jumapili
JK akiongea na wananchi kibao waliokuwa wametanda njia nzima wakati akielekea Mvomero.
Wadau wa Mtibwa Sugar wakiwa katika mkutano wa kampeni wa JK Mvomero 







Bro Amos na JK sis wana-Mvomero tuko nanyi. CCM lazima tuzidishe harakati za kupambana mpaka tuishine nguvu ya giza (chadema, solely motivated by hatred ndiyo maana wanatukana ovyo). CCM daima.
ReplyDeleteGiza tupu kwenu nyie mliopotea step, sie kwetu CCM mwanga unatuwakia!
ReplyDeleteHapa twanga wamefuata pesa si mapenzi ya chama hata kikitokea chama kingine wanabadilisha jezi.hongereni kwa kutafuta pesa kwa staili hiyo
ReplyDeleteNani kabaki ambae si CCM/au si mdau?isije ikawa ni njaa zetu tu?
ReplyDeleteLini watanzania wataamka na kuanza kuelewa umuhimu wa vyama vingi ?
ReplyDeletewatu ambao tunategemea kuwa wameamka kumbe bado?vichwa vya nazi,mpaka vipasuliwe!
ReplyDeleteOmari umekimbia box Tesco unakwenda kucheza shoo za Twanga, angalia ndugu yangu huko bado tunakupenda !!
ReplyDeleteWahenga hawakukosea waliposema "PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA"
ReplyDeleteNyinyi watukanaji, kubalini tu kuwa Watanzania wengi zaidi hawatafuata matakwa yenu. Kutukana watu hakutawasaidia. Acheni kuanika chupi zenu chafu hadharani. Msidhani mna akili kuliko kila mtu. Mna chuki zaidi tu. CCM MBELE DAIMA. Hatutakiki kuburuzwa na chama cha kikabila cha Chadema.
ReplyDeletemdau hapo juu umenivunja mbavu,eti kaacha box Tesco kaenda kucheza shoo twanga!!! box oyeeee. mie nimetoka kupiga box Sainsbury..teh teh teh
ReplyDelete