Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya (katikati) akipokea wa mabati 210 yenye thamani ya sh. milioni 2.9 kutoka Rotary Klabu ya Kanda ya Kati ya Morogoro , ikiongozwa na Gavana Msaidizi Dk Edie Wilson (kulia) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko huko Wilayani Kilosa.hafla hii ilifanyika juzi nje ya viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.( Picha na John Nditi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Rotary Club msingetia alama mabati yenu, huo msaada ungedaiwa kutolewa na chama fulani cha siasa wakati huu.

    Ahsante Rotary Club kwa kutimiza ahadi zenu.

    Mdau
    Makao Makuu Kinondoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...