Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya (katikati) akipokea wa mabati 210 yenye thamani ya sh. milioni 2.9 kutoka Rotary Klabu ya Kanda ya Kati ya Morogoro , ikiongozwa na Gavana Msaidizi Dk Edie Wilson (kulia) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko huko Wilayani Kilosa.hafla hii ilifanyika juzi nje ya viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.( Picha na John Nditi).

Rotary Club msingetia alama mabati yenu, huo msaada ungedaiwa kutolewa na chama fulani cha siasa wakati huu.
ReplyDeleteAhsante Rotary Club kwa kutimiza ahadi zenu.
Mdau
Makao Makuu Kinondoni.