Home
Unlabelled
wanahabari wanolewa na PCCB mkoani morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
PEEK A BOO!....I saw goodness!
ReplyDeleteHAWA NI WAUMINI WA HABARI KWANI MWANA HABARI NI YULE ANAYEANDIKA JAMBO SAHIHI NA PIA HUDADISI APEWAPO HABARI, LAKINI HAWA HAWANA TOFAUTI NA WANAOKWENDA KUSALI KWENI HAWAHOJI WAPEWAPO HABARI.
ReplyDeleteMichuzi (katikati) akiwa na kamanda wa FFU mkoa wa Iringa Said Mnunka( kushoto) na kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa (ACP) Evarist Mangalla ,Michuzi amekutana na makamanda hawa leo nyumbani kwa aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mzee Tasili Mgoda. (Picha: Francis Godwin, Iringa.)
ReplyDeletehabari zenu wadau, sijui kama ni jina zuri isipokuwa nalitumia kwa kuwa tunazungumzia na kukabiliana au kuelekea upande unaofanana. vipi kuhusu ukumbi uliotumika, unaonekana kama unafanyiwa kazi, je concentration ya kikao ilikuwepo au TCCB hawangalii comfortability ya wajumbi ili waelewe na kufahamu kinachoendelea? Hapa kwa ukumbi huu wajumbe wamefuata posho tu na hamna uelewa.
ReplyDeleteNakuona hapo dada debora a.k a mama yasin, hongera!
ReplyDeleteSasa huyu dada yetu hapa "charangi" anacheka na makaratasi yake, wakati mwenziwe yuko katika harakati za kuandika. Kulikoni?.
ReplyDeleteJAMANI NASHUKURU KWA WALE WOTE WALIOJITOLEA KUTOA USHAURI NAMNA YA KUMPATA TASI. TAYARI NILISHAMPATA NA TUNAWASILIANA BILA TATIZO. aal090tz@gmail.com
ReplyDelete