Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akilihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Mjini New York alikomwakilisha Rais Jakaya Kikwete juzi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Aiowa nchini Marekani wakti alipotembelea Chuo hicho hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pili kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto) wakiwa katika Mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon (watatu kulia ) na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo, Dr. Asha Rose Migiro (wanne kulia) kwenye Ofisi za Umoja Mataifa Mjini New York.
Home
Unlabelled
Waziri Mkuu Akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal,
ReplyDeleteNi jambo zuri Waziri Mkuu wetu anapewa exposure katika masuala ya kimataifa huyu ni mtoto wa mkulima ambaye anawakilisha jamii halisi Big up pinda lakini angalia mafisadi wasikununue
Dah, afadhali Pinda naye kapewa shavu maana Bosi wake alikuwa kambania sana kila siku yeye tu safarini mpaka anadondoka lakini wapi......hawaachii wenzake.
ReplyDeleteNa isingekuwa uchaguzi ungesikia tu.
muheshimiwa alikua anaongea lugha gani naona mama Asha kule ana headset...!
ReplyDelete