Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, wa Saint Vincent and Grenadines, Dr. Ralph Gonsalves kabla ya mazungumzo yao kwenye ukumbi wa Umoja wa Mataifa, New York Septemba 23, 2010. Wote wanahudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kulia) na Waziri MKuu wa Saint Vincent and Grenadines, Dr. Ralph Gonsalves katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York Septemba 23, 2010.

Pinda kumbe nawe umo!
ReplyDeletea goog masonic handshake.
Haya sasa nyie mliokuwa mnaongea sana oohh kufunga vifungo ukusimama!!!!mara mzee sheria za suti hata wenyewe wenye vazi simnaona?jamani watu wa boksi acheni kukariri huyo PM kaingia IKULU 1975 sasa nyie mnajua nini? msiwe conservative while you have nothing to comment
ReplyDelete