Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, wa Saint Vincent and Grenadines, Dr. Ralph Gonsalves kabla ya mazungumzo yao kwenye ukumbi wa Umoja wa Mataifa, New York Septemba 23, 2010. Wote wanahudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kulia) na Waziri MKuu wa Saint Vincent and Grenadines, Dr. Ralph Gonsalves katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York Septemba 23, 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pinda kumbe nawe umo!
    a goog masonic handshake.

    ReplyDelete
  2. mkomo wa manzaSeptember 24, 2010

    Haya sasa nyie mliokuwa mnaongea sana oohh kufunga vifungo ukusimama!!!!mara mzee sheria za suti hata wenyewe wenye vazi simnaona?jamani watu wa boksi acheni kukariri huyo PM kaingia IKULU 1975 sasa nyie mnajua nini? msiwe conservative while you have nothing to comment

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...