mabango ya CHADEMA Kigoma Kaskazini

Zitto Kabwe akiteta na wazee wa mji wakati wa kusaka kura Kigoma Kaskazini
Zitto Kabwe akiserebuka mitaani na kinamama
Zitto akihutubia mkutano wa hadhara CherekoChereko
Kwa habari na picha zaidi
Tembelea Libeneke la Zitto Kabwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Wakati Zitto anaangaikia kura Mnyika eti anaangaikia rufaa kwa JK. Thibutu. Akishindwa utamsikua eti CCM wameiba kura.

    ReplyDelete
  2. Nakupenda sana Zitto Kabwe Njoo CCM.

    ReplyDelete
  3. Leo umetukumbuka? .Safi sana usilale upande wako sana

    ReplyDelete
  4. Anony 5:40 Mbona Mnyika Ubungo keshachukua..

    ReplyDelete
  5. zito achana na hao chadema. wanakutumia tu. ndiyo maana umeona sapoti yako kigoma inazidi kushuka.

    ReplyDelete
  6. Mnyika anasubiri ushindi wa mezani, wakati wenzio wanafanya kampeni ya nyumba hadi nyumba, uchochoro hadi uchochoro yeye anaamini keshashinda. Haluu hakuna cha Mnyika wala Mpori mmesahau kuwa wapiga kura wengi ni kinamama!

    ReplyDelete
  7. Naomba kukumbushwa hizi Mh Zitto alimaliza yale masomo aliyosema hatagombea muhula huu kwa kuwa atakuwa KIMASOMO ZAIDI. na sisi wa was it Mwanza or Tabora region aliotuahidi atagombea kwetu imekuwaje.
    Zitto unakubalika angalia comments zako zitakuingiza kwenye normal practice ya SIASA
    all the best to You

    ReplyDelete
  8. Mnyika ubungo kihalali alishachukua tangu 2005 kwa yule Kee-njaa sijui, wizi tu walichelewesha matokeo siku tatu. Na sasa sisi tushamchagua tena waibe waone. Hatutaki hata kuwasikia CCM jimboni Ubungo. labda wangemuweka Nape ambaye angalau ana damu ya kiutendaji sio wale kina Kee-njaa

    ReplyDelete
  9. nashanga...tumeanza kusherehekea ushindi wa kishindo wa kijana ubungo

    ReplyDelete
  10. Anony 12:45 pm of course tunasheherekea ushinid wa kishindo wa Mnyika who else can compete with him??? hata kwa wizi wa kura ccm hawatashinda

    ReplyDelete
  11. Hivi vyama vya upinzani vinapeleka wapi hela za kampeni? Mbona hivyo vijibango vyao ni uchafu mptupu? What image are they showing if they succeed to lead this nation? Wapuuzi watupu.They can never win!!Huo ndio ufisadi hasa!.

    ReplyDelete
  12. mbona watoto wadogo watupu wanamsikiliza!!hao ndio wapiga kura ama???mmh

    ReplyDelete
  13. Anony sept 07,04:01pm wakina mama, wasichana wakubwa na wazee anao ongea nao hujawaona? kweli ccm wamekupofua macho!

    ReplyDelete
  14. we anon... chadema hatusemi ushindi wa kishindo, tunasema ushindi wa heshima, pia we anon hao si watoto ni watu wazima sema tu maisha, usitake kunichesha kuna wilaya moja enzi za nyerere alikuta wananchi wote ni wafupi wakati anataka kuhutubia akawaambia NYIE WATOTO NENDENI MKAITE WAZAZI WENU NIWAHUTUBIE..... wakamjibu THITHI NDO BA DHAO NA MAMA DHAO Tuhutubie, kwa hiyo kaka usishangae hao anaowahutubia zitto maisha tu, yametaighti

    hafu na wewe unayeuliza hela za kampeni pole sana, hela za kampeni si mabango tu, hao unaowaona na mabango yao ya kijani, wanajua kuchota, usiwachezee,

    vyama vya upinzani vitachota wapi?

    Shangaa tu eti hawana mabango.... labda uwe mmoja wao.

    ReplyDelete
  15. Umebanaa weeeeee mpaka umeachia!mwingine eti watoto macho mabovu nn,nyooo pumbaff wee!ivi unafikiri yule mama atapita ubungo???thubutuuuu.aendeleze ujasiriamali.

    ReplyDelete
  16. Nyinyi Chadema mnaishi nchi ya kufikirika "cuckoo-land". Hamtashinda ubungo, copy that. CCM oyeee!!!

    ReplyDelete
  17. mnaniwacha hoi na vipoint vyenu humu,,,hatutaki longolongo ebu mkapige kura kiukweli sio mnachoonga na siku ya kupiga kura eti mnakuwa ma-gentlemen hamtaki kupanga foleni kuanzia saa 11 alfajiri
    mimi nitapanga na jioni nakwea pipa kurudi nitokako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...