Home
Unlabelled
zitto kabwe akijinadi kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wakati Zitto anaangaikia kura Mnyika eti anaangaikia rufaa kwa JK. Thibutu. Akishindwa utamsikua eti CCM wameiba kura.
ReplyDeleteNakupenda sana Zitto Kabwe Njoo CCM.
ReplyDeleteLeo umetukumbuka? .Safi sana usilale upande wako sana
ReplyDeleteAnony 5:40 Mbona Mnyika Ubungo keshachukua..
ReplyDeletezito achana na hao chadema. wanakutumia tu. ndiyo maana umeona sapoti yako kigoma inazidi kushuka.
ReplyDeleteMnyika anasubiri ushindi wa mezani, wakati wenzio wanafanya kampeni ya nyumba hadi nyumba, uchochoro hadi uchochoro yeye anaamini keshashinda. Haluu hakuna cha Mnyika wala Mpori mmesahau kuwa wapiga kura wengi ni kinamama!
ReplyDeleteNaomba kukumbushwa hizi Mh Zitto alimaliza yale masomo aliyosema hatagombea muhula huu kwa kuwa atakuwa KIMASOMO ZAIDI. na sisi wa was it Mwanza or Tabora region aliotuahidi atagombea kwetu imekuwaje.
ReplyDeleteZitto unakubalika angalia comments zako zitakuingiza kwenye normal practice ya SIASA
all the best to You
Mnyika ubungo kihalali alishachukua tangu 2005 kwa yule Kee-njaa sijui, wizi tu walichelewesha matokeo siku tatu. Na sasa sisi tushamchagua tena waibe waone. Hatutaki hata kuwasikia CCM jimboni Ubungo. labda wangemuweka Nape ambaye angalau ana damu ya kiutendaji sio wale kina Kee-njaa
ReplyDeletenashanga...tumeanza kusherehekea ushindi wa kishindo wa kijana ubungo
ReplyDeleteAnony 12:45 pm of course tunasheherekea ushinid wa kishindo wa Mnyika who else can compete with him??? hata kwa wizi wa kura ccm hawatashinda
ReplyDeleteHivi vyama vya upinzani vinapeleka wapi hela za kampeni? Mbona hivyo vijibango vyao ni uchafu mptupu? What image are they showing if they succeed to lead this nation? Wapuuzi watupu.They can never win!!Huo ndio ufisadi hasa!.
ReplyDeletembona watoto wadogo watupu wanamsikiliza!!hao ndio wapiga kura ama???mmh
ReplyDeleteAnony sept 07,04:01pm wakina mama, wasichana wakubwa na wazee anao ongea nao hujawaona? kweli ccm wamekupofua macho!
ReplyDeletewe anon... chadema hatusemi ushindi wa kishindo, tunasema ushindi wa heshima, pia we anon hao si watoto ni watu wazima sema tu maisha, usitake kunichesha kuna wilaya moja enzi za nyerere alikuta wananchi wote ni wafupi wakati anataka kuhutubia akawaambia NYIE WATOTO NENDENI MKAITE WAZAZI WENU NIWAHUTUBIE..... wakamjibu THITHI NDO BA DHAO NA MAMA DHAO Tuhutubie, kwa hiyo kaka usishangae hao anaowahutubia zitto maisha tu, yametaighti
ReplyDeletehafu na wewe unayeuliza hela za kampeni pole sana, hela za kampeni si mabango tu, hao unaowaona na mabango yao ya kijani, wanajua kuchota, usiwachezee,
vyama vya upinzani vitachota wapi?
Shangaa tu eti hawana mabango.... labda uwe mmoja wao.
Umebanaa weeeeee mpaka umeachia!mwingine eti watoto macho mabovu nn,nyooo pumbaff wee!ivi unafikiri yule mama atapita ubungo???thubutuuuu.aendeleze ujasiriamali.
ReplyDeleteNyinyi Chadema mnaishi nchi ya kufikirika "cuckoo-land". Hamtashinda ubungo, copy that. CCM oyeee!!!
ReplyDeletemnaniwacha hoi na vipoint vyenu humu,,,hatutaki longolongo ebu mkapige kura kiukweli sio mnachoonga na siku ya kupiga kura eti mnakuwa ma-gentlemen hamtaki kupanga foleni kuanzia saa 11 alfajiri
ReplyDeletemimi nitapanga na jioni nakwea pipa kurudi nitokako