Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 45 mpaka sasa

  1. anko we noma,kamata kitu hicho
    kisha jeukia kibla.

    ReplyDelete
  2. Hahahahaaaaa kaka 'MISUPU' umenifurahisha hapo ulipomzingua Sporah kumuulizia unatafuta 'wapenzi'na wewe kwa utani uko juu...Libeneke Oyeee.
    Mdau-Mji Wa Kusoma!!!

    ReplyDelete
  3. Hahahaaaaa.Wachagga wanapenda kusoma magazeti nimeipenda hiyo MICHUZI.
    Mdau-Mji wa Kusoma!!!

    ReplyDelete
  4. Namkubali Sporah, karibu Tanzania Mama.

    ReplyDelete
  5. Hahaaa.. Ankali kama KANUMBA
    Kumbe ndo maana ulikuwa unamtetea

    ReplyDelete
  6. Very intresting, I like your dress Sporah.

    ReplyDelete
  7. Wachaga wazamani babu ee, mtuache kabisa. Jaribu wachaga wasiku hizi uone kama hujaamisha virago vyote.

    ReplyDelete
  8. Sporah umekaa sana ughaibuni mpaka huelewi kama wachaga mnapenda kusoma magazeti ni UKWELI, tena mpaka Mnasinzia. ILA MI NAWAPENDA IVO IVO.

    ReplyDelete
  9. Ankal leo umenigusa, unajua nini! jana usiku nilikua naongea na Mama watoto wangu kuhusu hili swala, mi ni mtu wa Tanga ila nimeoa Mmarangu mchaga. Sasa huku kwetu Tanga wanaamini ni wanawake wa kitanga tu ndio mambo safi.
    Aisee wachaga wasikuizi wajanja sio mambo chap chap tena, na ndio maana dada Spora anakushanga. We siunamuona Spora mwenyewe hapo.
    Mdau Tanga

    ReplyDelete
  10. mithupuuu weraa unakwepa kingeleza mimi hata siaminiii hahaha.....live na mrembo

    ila Idea ya kuanzisha ya wapenz mimi takua wa kwanza kuitambulisha apa asante kwa wazoo

    Karibu tusome magazetii

    ReplyDelete
  11. Nani kakudanganya? Michuzi njoo uchagani tukuonyeshe shughuli! Kama utakumbuka ulikotoka. Nyooo

    ReplyDelete
  12. SIJUI NIOSHE KINYWA HAPA ILA NAMUOGOPA MITHUPU ATANIFUNGIA BUREEE

    ReplyDelete
  13. Abiola Jr. Mikanjuni TangaOctober 28, 2010

    Ankal, wachaga wa siku hizi hawasomi sana magazeti kama ilivyokuwa wale wa zamani kidogo.
    Siku hizi wanachangamka sana "wanapowajibika" na wanajua "kujichanganya" kuliko hata Wamakonde na Wamakua.

    ReplyDelete
  14. Mume Wangu, Mikanjuni TangaOctober 28, 2010

    Hawasomi magazeti, Msalani wanakwenda na hawafuniki chakula cha mto, mtoto kweli!!!!!!
    Wachaga wa siku hizi wameendelea sana, usipokuwa mwangalifu utachonga mzinga.

    ReplyDelete
  15. MAANA NYENGINE YA KUSOMA GAZETI = KUTOKUWA CREATIVE IN BED, MWASHILI WA PWANI

    ReplyDelete
  16. michuzi sasa mbona umeondoka kabla show haijaisha unajuwa maana ya show naona mnacheza tu mara kiswahili na mara english show mbaya na kama upo kwenye show hutakiwi kucheka sana namna iyo mpaka unaondoka
    ovyooo

    ReplyDelete
  17. JAMANI HUYU DADA KAOLEWA KWASABABU MIMI NAMPENDA SANA YAANI HATA SIWAZI LOLOTE HUYO NDO MWANAMKE NAMPENDA SANA SANA SANA,NITAMPATAJE JAMANI HATA NIONGEE NAE TUU!MDAU UK

    ReplyDelete
  18. Sasa wewe muosha kinywa, wasipoweka Kiswanglish sisi wa mbagala tutaelewaje? na wasipoweka kiingereza wale wa uk usa wataelewaje, hii ni dunia nyingine bwana acha wivu.
    Anka show bomba na sio kila mahali unakua too serious. I like it. LIBENEKE OYEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  19. ANKAL NAONA ULIANZA NA KIENGEREZA LAKINI KIKIWA HAKITOKI VIZURI HALAFU UKABADILISHA KWENDA KIMATUMBI.

    ReplyDelete
  20. Idea ya kuanzisha online dating ni nzuri sana hasa kwasisi tulioko nchi za nje tunaotaka wachumba kutoka nyumbani au wale walioko nyumbani wanaotaka wachumba kutoka nchi za nnje. na ninadhani Ankal umepatia sana, Dada Sporah angeanzisha hiyo ingekua Super mana tayari ana TV show yake na pia REPUTATION yake ni nzuri kwenye community yetu. hivo mimi nikienda kutafuta mchumba ntakua nauhakika wakina dadantakao kutana nao watakua TYPE ya Sporah, nadhani hili ni lamuhimu. Hata mie ningeomba dada Sporah achukue hili ombi letu.
    Mdau Canada

    ReplyDelete
  21. LEO VIPI HAKUNA PICHA ZA KIKWETE NA CCM KWA UJUMLA?

    ReplyDelete
  22. Mithupu,

    Nisaidie, nini maana ya kusoma magazeti? Naona nimetoka kapa hapo.

    ReplyDelete
  23. Jamani nampenda sana huyu binti, tena ki... Haswa. Ila mie kwetu mbagalaaaaa, atanikubali.
    Bwana michuzi njiwa wangu fikisha huu ujumbe.
    Mi nampenda huyu dada.

    ReplyDelete
  24. Hapo misupu umechemsha, Mayai aona siyo yenyewe hata Sporah mwenywe kakushitukia,, alafu unajitia kuchomeka, wachaga kusoma magazeti mala blog ya kutafuta wachumba,, what was that? damn!!!. alafu unacheka sana mpaka inakuwa soo, huyo ni show ya huyo dada,, ila sidhani kama atailusha hewani maana aina viwango vya kutosha,,, her idea was good, to introduce you blog (Michuzi) to the world,, wewe umechemsha mpaka unakimbia,, MTU MZIMA HOVYO,,hayo ni mawazo yangu,, next time kuwa serious kwenye show kama hizo.
    mdau Canada

    ReplyDelete
  25. Nampenda sana huyu dada mana sijawahi kusikia skendo mbaya kuhusu yeye, na show yake kweli sio yakiivo lakini kuna room kubwa ya improvement. I really like her.

    ReplyDelete
  26. Mzee wa libeneke ngoja nikushauri kitu kimoja sasa umekuwa potential public figure especially kwa watu walikimbia umande kidogo. Jaribu kutulia na kujibu maswali ukiwa umetulia sio kurusha miguu na kurukaruka katika interview we expect a calm and gentlekind of response katika interview unazokuwa unaojiwa any way ujakosea san lakini ni vizuri tukumbushane kiutu uzima ....big up bro ua blog is the best

    ReplyDelete
  27. Ankal kithungu kimeenda holiday, unacheka cheka tu kama Ali Kiba.

    ReplyDelete
  28. Msitudanganye jamani, wachaga wote bado wanasoma magazeti. Hii ndio asili yao

    ReplyDelete
  29. Ankal mbona naona Kama unamuomba muomba Sporah kitu hapo. Ila mnapendezeana sana. Jaribu bahati yako! Nasikia yuko Single ila hapa London haonekaniki kabisa sijui kanajificha wapi haka kabinti. Napenda show yako.

    ReplyDelete
  30. Hello sisy sporah! jamani i real lv ur show its very inspirational.

    ReplyDelete
  31. Huyo Sporah hatakama anasoma magazeti mi simind wala nini. Mi nampenda tu tutafundishana taratibu.

    ReplyDelete
  32. Kanumba number 2

    ReplyDelete
  33. Wanaouzungumzia kuhusu lugha ni malimbukeni mi naona haikua ishu ya lugha hapa yeye ni among entertainers na anaboresha blog ambayo kuanzia jina lake ni la kiswahili hivo hakuona haja ya kiingilishi imeenda vema sana Kiswahili kwa sababu ni lugha inayokusudiwa na blog, halafu nafikiri wenye kujifanya kupenda kiingilishi ni watu hasa wanaoishi bongo wana fikiri kuwa ukisema Kiswahili ni mtu feki wakati waliopo nje wanakitamani Kiswahili na wamechoka na lugha zingine wanazo amka nazo na kulala nazo,
    Kwa mawazo hayo kama zinavopotea lugha za asili moja baada ya moja na Kiswahili kipo hatarini, maana kasumba ya kizungu imesha ota mizizi, wakati wazungu wenyewe wanajutia kupotea kwa lugha zao za asili.

    ReplyDelete
  34. Hahah, Naona Spora wa watu hakuelewa maana ya kusoma gazeti .......... wachaga zao hizo.....hawashughuliki kabisa chumbani...... na huyu aunt hakuelewa kabisa unacheka nini, poor thing........... Umewamaliza wachaga,
    angalia wasikupige mawe hahah

    Mdau,

    Amerika Kaskazini

    ReplyDelete
  35. Ankal, la kuongea kizungu nimekusamehe linaeleweka, lakini si ungemwambia sporah kabla ya show mambo yawe kiswahili?. Pili, hivi kuishi kote kwenye ulimwengu wa habari mpaka leo hujui jinsi ya ku-behave kwenye interviews? you were leaning to close to her sometimes she looked uncomfortable utaishia gusa viungo vyake (nimeogopa kuchafua hali ya hewa). Tatu, hukuwa serious kuielezea michuzi sikujua kilichokuwa kinakuchekesha kiasi kile ni nini au ndio zuga?? Punguza usanii next time jipange kaka!

    ReplyDelete
  36. Michuzi umesema uwongo; Libeneke ulikuwa mtindo wa bendi ya Butiama Jazz. Bendi hii haikuwa ya Musoma ilikuwa ya Dar es Salaama na makao yake makuu yalikuwa hapo Ilala. Bendi za Musoma nyakati hizo zilikuwa ni mbili tu: Mara Jazz (Sensera) na Mkendo Jazz (Segese). Mtafute mwalimu Charles Ruyembe wa BASATA akuambie zaidi kwa vile yeye alikuwa mwimbaji wa Segese wakati huo.

    Kumbe misupu nawe unababaisha!

    ReplyDelete
  37. Kwani jamani huyu dada mbona hapa Londoni sijawahi kumuona sehemu hata moja ya wabongo, mu kunawakati milibishana na jamaa zangu kuwa huyu dada sio mbongo. Du kumbe tena Shombony Nachicha! Lol
    ningependa kukutana nae siku moja. Ila naona Ankal na wewe unanyemelea nyemelea.. MLEVIII

    ReplyDelete
  38. ankallll, kumbe lile yai uliotema diaspora ulikremisha. sasa mtz mwenzio umemkwepa vp ukikutana na native english ppl? aaah nimejua jibu ni kuwa unaithamini lugha ya nyumbani. big up sana mithupu
    mbeba box asiyetamani kurudi bongo mpaka siku winter ikiwepo tz

    ReplyDelete
  39. Ankal nimekushitukia kizungu chako kina umande kidogo. kumbe wewe kundi moja na Kanumba ,Ali Kiba na AY ?. naona ulikuwa unacheka cheka tu huku haja ndogo ikikubana.

    ReplyDelete
  40. Eh! nimepanda na kusoma magazeti nikashukaa weeee mpaka kuja kujua mwe jamani tuacheni wachaga wa watu kunako mav...zi jamani mbona ukionja mtahamia. Acheni hizo ni ka kutaja biashara ya utumwa wakati huu wa uhuru.

    ReplyDelete
  41. I thought Mdau meant Stake holders .
    in what language is this show conducted? Are these two Maimuna?

    ReplyDelete
  42. RekingiriritikiOctober 29, 2010

    Mbona kuchanganya kiswahili na ki english like that hivyo? I aint tryna be mchafuzi wa hewa....im jus sayn.

    Oops, I did the same kitu!

    LOL

    ReplyDelete
  43. I like this one!
    Wachaga Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
    Sporah Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  44. Du, Mtoto anaonekana anajua kudeka huyu!! Mi niko sawa tu waungwana hatakama anasoma Gazeti na Magazine na Story Books. Kwa Sporah i dont mind, Spora popote ulipo jamani mi nakupenda!
    Mdau Dubai

    ReplyDelete
  45. Hii kali Ankal, nimeipenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...