Home
Unlabelled
ankal ndani ya sporah show
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anko we noma,kamata kitu hicho
ReplyDeletekisha jeukia kibla.
Hahahahaaaaa kaka 'MISUPU' umenifurahisha hapo ulipomzingua Sporah kumuulizia unatafuta 'wapenzi'na wewe kwa utani uko juu...Libeneke Oyeee.
ReplyDeleteMdau-Mji Wa Kusoma!!!
Hahahaaaaa.Wachagga wanapenda kusoma magazeti nimeipenda hiyo MICHUZI.
ReplyDeleteMdau-Mji wa Kusoma!!!
Namkubali Sporah, karibu Tanzania Mama.
ReplyDeleteHahaaa.. Ankali kama KANUMBA
ReplyDeleteKumbe ndo maana ulikuwa unamtetea
Very intresting, I like your dress Sporah.
ReplyDeleteWachaga wazamani babu ee, mtuache kabisa. Jaribu wachaga wasiku hizi uone kama hujaamisha virago vyote.
ReplyDeleteSporah umekaa sana ughaibuni mpaka huelewi kama wachaga mnapenda kusoma magazeti ni UKWELI, tena mpaka Mnasinzia. ILA MI NAWAPENDA IVO IVO.
ReplyDeleteAnkal leo umenigusa, unajua nini! jana usiku nilikua naongea na Mama watoto wangu kuhusu hili swala, mi ni mtu wa Tanga ila nimeoa Mmarangu mchaga. Sasa huku kwetu Tanga wanaamini ni wanawake wa kitanga tu ndio mambo safi.
ReplyDeleteAisee wachaga wasikuizi wajanja sio mambo chap chap tena, na ndio maana dada Spora anakushanga. We siunamuona Spora mwenyewe hapo.
Mdau Tanga
mithupuuu weraa unakwepa kingeleza mimi hata siaminiii hahaha.....live na mrembo
ReplyDeleteila Idea ya kuanzisha ya wapenz mimi takua wa kwanza kuitambulisha apa asante kwa wazoo
Karibu tusome magazetii
Nani kakudanganya? Michuzi njoo uchagani tukuonyeshe shughuli! Kama utakumbuka ulikotoka. Nyooo
ReplyDeleteSIJUI NIOSHE KINYWA HAPA ILA NAMUOGOPA MITHUPU ATANIFUNGIA BUREEE
ReplyDeleteAnkal, wachaga wa siku hizi hawasomi sana magazeti kama ilivyokuwa wale wa zamani kidogo.
ReplyDeleteSiku hizi wanachangamka sana "wanapowajibika" na wanajua "kujichanganya" kuliko hata Wamakonde na Wamakua.
Hawasomi magazeti, Msalani wanakwenda na hawafuniki chakula cha mto, mtoto kweli!!!!!!
ReplyDeleteWachaga wa siku hizi wameendelea sana, usipokuwa mwangalifu utachonga mzinga.
MAANA NYENGINE YA KUSOMA GAZETI = KUTOKUWA CREATIVE IN BED, MWASHILI WA PWANI
ReplyDeletemichuzi sasa mbona umeondoka kabla show haijaisha unajuwa maana ya show naona mnacheza tu mara kiswahili na mara english show mbaya na kama upo kwenye show hutakiwi kucheka sana namna iyo mpaka unaondoka
ReplyDeleteovyooo
JAMANI HUYU DADA KAOLEWA KWASABABU MIMI NAMPENDA SANA YAANI HATA SIWAZI LOLOTE HUYO NDO MWANAMKE NAMPENDA SANA SANA SANA,NITAMPATAJE JAMANI HATA NIONGEE NAE TUU!MDAU UK
ReplyDeleteSasa wewe muosha kinywa, wasipoweka Kiswanglish sisi wa mbagala tutaelewaje? na wasipoweka kiingereza wale wa uk usa wataelewaje, hii ni dunia nyingine bwana acha wivu.
ReplyDeleteAnka show bomba na sio kila mahali unakua too serious. I like it. LIBENEKE OYEEEEEEEEEE
ANKAL NAONA ULIANZA NA KIENGEREZA LAKINI KIKIWA HAKITOKI VIZURI HALAFU UKABADILISHA KWENDA KIMATUMBI.
ReplyDeleteIdea ya kuanzisha online dating ni nzuri sana hasa kwasisi tulioko nchi za nje tunaotaka wachumba kutoka nyumbani au wale walioko nyumbani wanaotaka wachumba kutoka nchi za nnje. na ninadhani Ankal umepatia sana, Dada Sporah angeanzisha hiyo ingekua Super mana tayari ana TV show yake na pia REPUTATION yake ni nzuri kwenye community yetu. hivo mimi nikienda kutafuta mchumba ntakua nauhakika wakina dadantakao kutana nao watakua TYPE ya Sporah, nadhani hili ni lamuhimu. Hata mie ningeomba dada Sporah achukue hili ombi letu.
ReplyDeleteMdau Canada
LEO VIPI HAKUNA PICHA ZA KIKWETE NA CCM KWA UJUMLA?
ReplyDeleteMithupu,
ReplyDeleteNisaidie, nini maana ya kusoma magazeti? Naona nimetoka kapa hapo.
Jamani nampenda sana huyu binti, tena ki... Haswa. Ila mie kwetu mbagalaaaaa, atanikubali.
ReplyDeleteBwana michuzi njiwa wangu fikisha huu ujumbe.
Mi nampenda huyu dada.
Hapo misupu umechemsha, Mayai aona siyo yenyewe hata Sporah mwenywe kakushitukia,, alafu unajitia kuchomeka, wachaga kusoma magazeti mala blog ya kutafuta wachumba,, what was that? damn!!!. alafu unacheka sana mpaka inakuwa soo, huyo ni show ya huyo dada,, ila sidhani kama atailusha hewani maana aina viwango vya kutosha,,, her idea was good, to introduce you blog (Michuzi) to the world,, wewe umechemsha mpaka unakimbia,, MTU MZIMA HOVYO,,hayo ni mawazo yangu,, next time kuwa serious kwenye show kama hizo.
ReplyDeletemdau Canada
Nampenda sana huyu dada mana sijawahi kusikia skendo mbaya kuhusu yeye, na show yake kweli sio yakiivo lakini kuna room kubwa ya improvement. I really like her.
ReplyDeleteMzee wa libeneke ngoja nikushauri kitu kimoja sasa umekuwa potential public figure especially kwa watu walikimbia umande kidogo. Jaribu kutulia na kujibu maswali ukiwa umetulia sio kurusha miguu na kurukaruka katika interview we expect a calm and gentlekind of response katika interview unazokuwa unaojiwa any way ujakosea san lakini ni vizuri tukumbushane kiutu uzima ....big up bro ua blog is the best
ReplyDeleteAnkal kithungu kimeenda holiday, unacheka cheka tu kama Ali Kiba.
ReplyDeleteMsitudanganye jamani, wachaga wote bado wanasoma magazeti. Hii ndio asili yao
ReplyDeleteAnkal mbona naona Kama unamuomba muomba Sporah kitu hapo. Ila mnapendezeana sana. Jaribu bahati yako! Nasikia yuko Single ila hapa London haonekaniki kabisa sijui kanajificha wapi haka kabinti. Napenda show yako.
ReplyDeleteHello sisy sporah! jamani i real lv ur show its very inspirational.
ReplyDeleteHuyo Sporah hatakama anasoma magazeti mi simind wala nini. Mi nampenda tu tutafundishana taratibu.
ReplyDeleteKanumba number 2
ReplyDeleteWanaouzungumzia kuhusu lugha ni malimbukeni mi naona haikua ishu ya lugha hapa yeye ni among entertainers na anaboresha blog ambayo kuanzia jina lake ni la kiswahili hivo hakuona haja ya kiingilishi imeenda vema sana Kiswahili kwa sababu ni lugha inayokusudiwa na blog, halafu nafikiri wenye kujifanya kupenda kiingilishi ni watu hasa wanaoishi bongo wana fikiri kuwa ukisema Kiswahili ni mtu feki wakati waliopo nje wanakitamani Kiswahili na wamechoka na lugha zingine wanazo amka nazo na kulala nazo,
ReplyDeleteKwa mawazo hayo kama zinavopotea lugha za asili moja baada ya moja na Kiswahili kipo hatarini, maana kasumba ya kizungu imesha ota mizizi, wakati wazungu wenyewe wanajutia kupotea kwa lugha zao za asili.
Hahah, Naona Spora wa watu hakuelewa maana ya kusoma gazeti .......... wachaga zao hizo.....hawashughuliki kabisa chumbani...... na huyu aunt hakuelewa kabisa unacheka nini, poor thing........... Umewamaliza wachaga,
ReplyDeleteangalia wasikupige mawe hahah
Mdau,
Amerika Kaskazini
Ankal, la kuongea kizungu nimekusamehe linaeleweka, lakini si ungemwambia sporah kabla ya show mambo yawe kiswahili?. Pili, hivi kuishi kote kwenye ulimwengu wa habari mpaka leo hujui jinsi ya ku-behave kwenye interviews? you were leaning to close to her sometimes she looked uncomfortable utaishia gusa viungo vyake (nimeogopa kuchafua hali ya hewa). Tatu, hukuwa serious kuielezea michuzi sikujua kilichokuwa kinakuchekesha kiasi kile ni nini au ndio zuga?? Punguza usanii next time jipange kaka!
ReplyDeleteMichuzi umesema uwongo; Libeneke ulikuwa mtindo wa bendi ya Butiama Jazz. Bendi hii haikuwa ya Musoma ilikuwa ya Dar es Salaama na makao yake makuu yalikuwa hapo Ilala. Bendi za Musoma nyakati hizo zilikuwa ni mbili tu: Mara Jazz (Sensera) na Mkendo Jazz (Segese). Mtafute mwalimu Charles Ruyembe wa BASATA akuambie zaidi kwa vile yeye alikuwa mwimbaji wa Segese wakati huo.
ReplyDeleteKumbe misupu nawe unababaisha!
Kwani jamani huyu dada mbona hapa Londoni sijawahi kumuona sehemu hata moja ya wabongo, mu kunawakati milibishana na jamaa zangu kuwa huyu dada sio mbongo. Du kumbe tena Shombony Nachicha! Lol
ReplyDeleteningependa kukutana nae siku moja. Ila naona Ankal na wewe unanyemelea nyemelea.. MLEVIII
ankallll, kumbe lile yai uliotema diaspora ulikremisha. sasa mtz mwenzio umemkwepa vp ukikutana na native english ppl? aaah nimejua jibu ni kuwa unaithamini lugha ya nyumbani. big up sana mithupu
ReplyDeletembeba box asiyetamani kurudi bongo mpaka siku winter ikiwepo tz
Ankal nimekushitukia kizungu chako kina umande kidogo. kumbe wewe kundi moja na Kanumba ,Ali Kiba na AY ?. naona ulikuwa unacheka cheka tu huku haja ndogo ikikubana.
ReplyDeleteEh! nimepanda na kusoma magazeti nikashukaa weeee mpaka kuja kujua mwe jamani tuacheni wachaga wa watu kunako mav...zi jamani mbona ukionja mtahamia. Acheni hizo ni ka kutaja biashara ya utumwa wakati huu wa uhuru.
ReplyDeleteI thought Mdau meant Stake holders .
ReplyDeletein what language is this show conducted? Are these two Maimuna?
Mbona kuchanganya kiswahili na ki english like that hivyo? I aint tryna be mchafuzi wa hewa....im jus sayn.
ReplyDeleteOops, I did the same kitu!
LOL
I like this one!
ReplyDeleteWachaga Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sporah Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Du, Mtoto anaonekana anajua kudeka huyu!! Mi niko sawa tu waungwana hatakama anasoma Gazeti na Magazine na Story Books. Kwa Sporah i dont mind, Spora popote ulipo jamani mi nakupenda!
ReplyDeleteMdau Dubai
Hii kali Ankal, nimeipenda.
ReplyDelete