Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni wafiwa wote jamani kwa msiba wa huyu dada Janeth! sikujua ata km alishafariki nilikuwa nafanya nae kazi jengo moja TDFL alikuwa Sky Link jamani!!!! Poleni mno kwani huyu dada km naona smile yake alikuwa mpole anapenda kusmile na kusalimia kila mtu poleni sana. Bwana ametwaa na Jina la bwana lihimidiwe! Apumzike kwa Amani.

    ReplyDelete
  2. Wee fara hapo juu....hiyo ni kumbukumbu na siyo tangazo la msiba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...