Joyce, Kelvin and Stella would love to introduce you to our blog -The Jokeste @ http://jokeste.blogspot.com/
We started this blog to share ideas regarding fashion, style, Dressing and other topics of interest. You can join us to be a member /a follower simply, by entering your email address on one of the options on the Right-Hand side of the blog.We encourage you to get involved in the discussions by submitting replies to the posts.Also, if you would like to have a post published on the Jokeste then don't hesitate to send it to us in your language of choice(Kiswahili or English).
Moreover, If there are any other additional/interesting topics you would like to see covered in the Jokeste,Please Let us know or contact us via
Jokeste@gmail.com
Nimeipenda hiyo blog.Very attractive.
ReplyDeleteMDAU USA
mmh Quality!
ReplyDeleteBrother Michuzi, Mbona inaelekea umeamua kususia kutupa habari latest kuhusu Liverpool FC? Kama sikosei walikuwa wacheze jana Jumapili. Mimi mtani wako wa jadi AA.
ReplyDeleteSasa tutaiga mapka lini? Tumia akili yako kuweka vitu vya kiafrika siyo unatuletea copy za watu.
ReplyDeleteAnonymous said...
ReplyDeleteSasa tutaiga mapka lini? Tumia akili yako kuweka vitu vya kiafrika siyo unatuletea copy za watu.
Ha ha ha na wewe Lol!Idea nzuri lakini. maanake siku hizi watu tumekuwa more Affected with western culture tunasahau zetu.Nafikiri the jokeste ni vizuri kama mtakuwa mnachanganya western culture n african culture ili kuleta burudani zadi.Na ukisema kuweka vitu vya kiafrica tuu itakuwa very boring kwa upande wangu so fanya kuchanganya zaidi vijana!by the way your blog is nice guys..Much love .Andrew
ok nyie mnaojiita Jokeste..Blog yenu ni nzuri Inavutia ila naona itakuwa bomba sana kama mtafuata ushauri wa Anonymous hapo juu.Nimeipitia na imebase sana kwenye culture ya wenzetu huko humjafanya kupendelea na kuwa proud of your continent yaani Africa.Japokuwa sijaona clearly copy n paste ila posts nyingi ni za western culture na chache sanaa ni za Africa kama Hiyo Ya Yeboyebo.Kwahiyo fanyeni kubadilisha tutaiga culture za wenzetu mpaka lini?
ReplyDelete