Meneja wa benki ya posta tawi la Bukoba,Maduhu Makoye akipongezana na kaimu kiranja mkuu wa shule ya sekondari ya Rugambwa Elizaberth Thomas mara baada ya kukabidhi magodoro hayo, kaimu kiranja huyo mkuu ni mmoja wa wanafunzi waathirika wa moto huo.


mkuu wa shule kongwe ya sekondari mkoani Kagera, Asha Mbaga(kushoto) akimuonyesha meneja wa benki ya posta tawi la Bukoba, Maduhu Makoye (katikati) sehemu ya bweni linalojulikana kwa jina la Nyerere lililoungua lote kwa moto hivi karibuni na kuteketeza mali zote za wanafunzi zilizokuwemo ndani ya bweni hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wakola tata!!aho abana balashoma kwani nanye nina omupango gwo kusaidia angalau abitanda bibili,wakola,ndenga na muto wange alapatao limo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...