Baadhi ya Mameneja wa kampuni ya Bia Tanzania,toka kulia ni Flavian Ngole,Zozimick Kimati na Reginald Mosha wakibadilishana mawazo wakati wa Bonanza la wafanyakazi wa TBL lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Lidaz Klabu.
vijana wa kazi wakipata mawaidha wakati wa mapumziko ya mtanange uliopigwa katika Bonanza hilo katika viwanja vya Lidaz Klabu,mwishoni mwa wiki iliyopita.
sasa ni zamu ya kuweka sawa koo kwa kupata vinywaji murua kabisa kutoka kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Lidaz Klabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. bia kweli hatari,unaona hao jamaa hapo juu,wote wameshikilia viuno kama steven gerlard after 2-1 defeat?uncle i`m sure ulitaka kupiga kichwa luninga kwa hasira.usinizibie tu comment yangu.

    ReplyDelete
  2. Hivi nani anamiliki leaders Club. Nisaidie kujua.

    ReplyDelete
  3. Leaders Club inamilikiwa na Tanzania Buildings Agency

    ReplyDelete
  4. Big-up Flavian!
    Mdau-ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...