Home
Unlabelled
Anniversary ya miaka 25 ya Col. & Mrs Maganga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana my dear Love, nawatakieni kila la Kheri, Mungu awabariki sana. Rukia
ReplyDeleteBaba Sizya na Mama Sizya, hongereni sana, mwenyezi mungu azidi kuwapa ndoa yenye upendo na amani ktk maisha yenu yote.
ReplyDeleteKlililiiiiiilii!waooow!hongereni sana mr & mrs Maganga (madam Love), May your anniversary be Happy and Grand.God bless u and your family. suzy m.
ReplyDeleteHongera wifi, Mungu awajalie miaka mingine mara tatu ya hiyo ya upendo na amani katika maisha yenu ya ndoa.
ReplyDeleteHongera wifi, Mungu awajalie miaka mingine mara tatu ya hiyo ya upendo na amani katika maisha yenu ya ndoa.
ReplyDeleteHongeren sana. Mungu awajalie maisha marefu na upendo, amani katika maisha yenu ya ndoa.
ReplyDeletehaya ndo mambo ya kutuwekea watu wazima siyo hiyo mibirthday yako. hapa tunajifunza kutunza ndoa ili na ss siku moja tusherekee umri mkubwa wa ndoa zetu.HONGERENI WAZEE WETU NA MUNGU AZIDI KUWABARIKI. NASI TUTAIGA TOKA KWENU
ReplyDeletehongera mama long time tangu diplomasia na baba tangu yale maghorofa ya pale arusha yanayofahamika kama kibla,nawatakia heri ya miaka ishirini na mitano mingine
ReplyDeleteHongera sana aunt & uncle, naomba Mungu azidi kuwabariki. God gave you two a special love to share because He knew how much you would cherish it. You have set a good example kwa mtoto wa kipaima kufuata. Lots of love.Happy Anniversary
ReplyDelete