Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere wakati alipofika Eneo la Mwitongo Kijiji cha Butiama, nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kumsalimia Mama Maria Nyerere leo
Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mama Maria Nyerere, wakati alipofika nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Kijiji cha Butiama, leo
Mama Maria Nyerere akizungumza na Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati Dk Bilal alipofika nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere leo kwa ajili ya kumsalimia Mama Maria Nyerere. Picha na Muhidin Sufiani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mama Maria ... quite moderate and reminds me of original mamas. Hana makuu mama wa watu. Mungu akuzidishie siku za kuishi na afya njema. Tunakupenda sana .....

    ReplyDelete
  2. eti ana yupo wapi vile and nani vile mwinyi,s wives??? she the real mama love you mama and god bless you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...