Mwisho Mwampamba akiwa amepozi na mtangazaji wa kipindi cha Filamu "TAKE ONE" kinachorushwa na Clouds TV,Zamaradi Mketema jioni hii ndani ya studio za Clouds FM.
Mwisho Mwampamba akiwa na Watangazaji wa kipindi cha Jahazi,Kulia ni Ephrahim Kibonde na kushoto ni Gadna G Habash wakiwa katika picha ya pamoja jioni ya leo ndani ya studio za Clouds FM 88.4.
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa All Stars 2010, Mwisho Mwampamba akifanya mahojiano mafupi jioni hii ndani ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM kinachoendeshwa na watangazaji mahiri Kapt.Gadna G Habash pamoja na Eprahim Kibonde,kuhusiana na mchakato mzima wa shindano hilo ambalo limefikia tamati hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Zamaradi kajaaliwa uzuri wa sura, umbo, na jina.

    ReplyDelete
  2. Ankal!!
    Nimefurahi kuwa mwisho amepokelewa vizuri nyumbani!!!! Nina swali au niseme nahitaji msaada!!! Nimekuwa nikijitahidi saana kutafuta chombo cha habari toka Tanzania na zaidi radio au TV ambayo inarusha matangazo yake live kwenye mtandao lakini sijafanikiwa!! Nitaomba saana kama naweza kupata link ya kuwapata live clouds FM radio nawamiss saana!!!! Huku ugaibuni napata tabu saana na nikikumbuka power breafast na Jahazi kupitia clouds fm!!!! Nawakumbuka saana Kibonde, G wa Habash,PJ, Gerlad na wengine wengi!!!
    Kama ikipatikana unaweza kuiweka hewani ili tufaidike na habari za nyumbani!!!

    Mdau wa libeneke lako hapa Norway!!!

    ReplyDelete
  3. This idiot cant be a celebrate !
    it just happened Tanzanians love idiots !

    Mdau PAris

    ReplyDelete
  4. mday hapo juu unahasira!!! umemwagwa nini mbona kama vile idiots ndio wewe tena na familia yako wote nyamafu we uliyekataliwa kuliwa japo mzoga, hata kunguru wameona bora uoze kuliko wakudonoe.

    ReplyDelete
  5. Well like it or not mdau wa paris he is a CELEBRITY ur the ignoramus!!!
    Jamani Zimbabwe wamemzawadia mshiriki wako usd300,000 labda na nasie tufikirie kumsaidia kufanikisha ndoto zake Mwisho kwa kumsaidia kujenga his 'bush camp'..just saying

    ReplyDelete
  6. MDAU WA PARIS, mligongana kwenye viwanja nn? Maana you just erupted from no where! Should be somethng wrong with you!

    Mdau idiot.

    ReplyDelete
  7. We Anon wa 01:57 wivu takuua.
    Pose yenu Mwampamba na Kibonde nimeipenda!!
    Inanikumbusha Mwakaleli miaka ya sekondari!!

    ReplyDelete
  8. Mwisho hawa jamaa waangalie sana,.sasa ivi watakupamba kwa nyimbo na mapambio but badae watakupotezea mbaya kama walivyofanya awali.

    ReplyDelete
  9. Hadj Drogba "mwana chelsea"October 22, 2010

    HAYA SASA WABONGO FUATENI NYAYO ZA KIDUME CHA AFRICA JONGWE MUGABE SI MMEONA ALIVYOMTOA KIJANA WAKE NA MKWANJA MKUBWA KULIKO MSHINDI HALISI WA BIG BROTHER ALIOUPATA,MZEE MUGABE KAMPA KIJANA WAKE DOLA LAKI 3,WAKATI MSINDI WA BBA THIS TIME AMELAMBA DOLA LAKI 2 ! JE WABONGO TUNAWEZA KUMPIKU MZEE MUGABE KWA KUCHANGISHANA KUPITIA SMS TUMUENZI KIJANA WETU MWISHO ANGALAU NAE AJISIKIE?CHANGAMOTO HIYO TUSIISHIE KUPIGA NAE PICHA TU!

    NAWASILISILISHA

    ReplyDelete
  10. Anonymous hapo juu: Ooooh... may be you are the idiot.... hata mwana mpotevu alispend urithi wake wote kwa kujirusha... aliporudi home kwa baba yake walimfanyia sherehe... keep your hatred in Paris.... au unafikiri kuonekana kwenye TV ndo u-celebrity?? last thing...learn how to spell before you come back home...

    ReplyDelete
  11. Wewe mdau wa Paris unayesema Mwisho Idiot, ni kinyume chake, wewe ndio Idiot, it not fair acha mawivu, kama humpendi nyamaza sio kutukana wenzako.Tena uwe na heshima na uache kabisa kutuita Watanzania Idiot, wewe ndio unapaswa kupewa sifa ya Uidiot
    Ur stupidyoo!

    ReplyDelete
  12. Ila huyo Zamaradi ni mzuri sana. Ana mvuto hasa hata kwa sisi tunaomwona kwenye picha. Sijui wanaomwona kwenye TZ! Hongera yake.

    ReplyDelete
  13. ni dola laki 3 za zimbabwe inaweza kuwa kama laki mbili tu za madafu tu.LOL

    ReplyDelete
  14. Mwisho mwanzoni aliinza vizuri tu Bigbrother lakini yule Merly na Ulevi ndivyo vimemkosesha Ushindi na Kura hata moja

    ReplyDelete
  15. Ah! kibondeeeeeee! miwani kama FBI, ulivaa kwa ajili ya picha na Mwisho nini? imekupendeza lakini, iko poa.

    ReplyDelete
  16. Toba wee! nye mwajameni nini hasa mnapeana makavu hivyo mwishowe ndo kutwangana mingumi.Hao wanaobeza na kututusi ni mtazamo wao ingawa sio ustarabu mpaka kumtusi mtu idiot kisa hajapata ushindi.Si vema hivyo, daima nawasihi tutiane moyo penye kushindwa.It was a game for fame.Nadhani Mwisho kiukweli aliwin game.Haya tuachemitusi tuwe wastarabu.

    ReplyDelete
  17. jamani kama mtu hujui kitu bora unyamaze tu, maana mh wewe unaesema dola za zimbabwe laki 3 sawa na sh laki 2 za bongo tuambie hiyo exchange rate ya lini. Kama hamna cha kuandika kaeni kimya tu. na kwa taarifa yenu nyie mnamponda Mwisho mnapoteza muda tu maaana mngejua! Mwisho hana njaa kama wengi mnavyomuona. Tatizo mmezoea maisha ya complication basi mtu akiwa simple mnaanza ooooh...eeeehhh... wengi tunajua ni malimbukeni wa mambo na mafanikio..Mwacheni kijana wa watu na maisha yake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...