Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, DK. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Mwanga, Jumanne Maghembe, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kijiji cha Lang’ata Bora Wilaya ya Mwanga jana.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Njiapanda ya Nyumba ya Mungu Wilaya ya Mwanga, wakati aliposimama kijijini hapo wakati akielekea Wilaya ya Same jana.
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na waangalizi wa uchaguzi kutoka nchi za Ulaya, John Earls (kulia) na mwenzake baada ya kumaliza mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Lang’ata Bora Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro jana. Picha na Muhidin Sufiani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...