Home
Unlabelled
ankal na wapiga kura wake wa masasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal!icho kidole kina maana gani?
ReplyDeleteHaki ya Mungu hapo itakuwa pale Stendi ya Masasi kuna kuku wa kuchoma kibao!!!
ReplyDeleteMuheshimiwa swaali kwa jamaa wa tokura, wtafika mangaka ? au fitna?
ReplyDeletena injinia jimmy naona mara ya mwisho alikuwa ibihwa dodoma naona mtu wa pembezoni tu!!
tunakujua akala wewe ni kada wa ccm tu. Ila elewa tukichukua nchi hizo safari zitapungua sana
ReplyDeleteAnko sorry hila nazani si kosa langu , nikosa la kuishi ulaya sana.
ReplyDeleteHivi kwa nini wabongo kunywa pombe si ishala ya kuwa na pesa. kwani watu wakipiga picha naona wana tambaza pole nini !!
Ankal, assalaam alleykum, mwambie Mbully asubiri sana manake kukung'oa kwa watani wa jadi itabidi watumie mataluma na makatapira! kama wakubwa wake wa kazi huku town (makutano ya morocco na bagamoyo) wameshindwa basi yeye kule Masasi afanye subira, bado upo upo sana!
ReplyDeleteLibeneke oyee!!
Mdau wa Mbeya
Ankal, assalaam alleykum, mwambie Mbully asubiri sana manake kukung'oa kwa watani wa jadi itabidi watumie mataluma na makatapira! kama wakubwa wake wa kazi huku town (makutano ya morocco na bagamoyo) wameshindwa basi yeye kule Masasi afanye subira, bado upo upo sana!
ReplyDeleteLibeneke oyee!!
Mdau wa Mbeya
Jimmiiii, wana FoE hatukuoni, kumbe uko maeneo ya samaki nchanga!
ReplyDeleteImma KG.
Buraza Michu kampeni za CCM zinakulipa sana ila hata hivyo ndio wajibu wenyewe huo maana lazma tulinde ugali,afu si nimekosea kucoment nimecoment kwa dogo nkajua wewe?
ReplyDeleteZAUNUNU-AMSTERDAM
NICE UMKC SHIRT THERE BUDDY!
ReplyDeleteGO ROOS!!!!!!!!!!!!!!
Habari cho wani? nnongwereraaaaaaaaaaa Masasi oyeeeee ankal lete habari za mkuti, jidah, wapiwapi, lisekese, nyasa, mkomaindo, resti, uwanja wa fisi haaaaaa safi sana
ReplyDeleteAnkal huyo alovaa khaki sio wa CHADEMA??? Maana mie nikiona khaki tu najua wajeshi wa CHADEMA !!!
ReplyDeleteJust kidding....