Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akiwafariji majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika hospitali ya Chakechake Pemba kwa matibabu kutokana na ajali ya gari aina ya TATA iliyopinduka jana katika kijiji cha Kilindini Wilaya ya Micheweni Pemba wakati gari hilo lilokuwa limewabeba Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakirejea kutoka katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha konde Kaskazini pemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inshaallah serikali ya Dk Sheiin itakayotangazwa baada ya uchaguzi iwakumbuke hawa wapemba ambao bado wana utamaduni kutumia haya ma TATA kama usafiri wa kuendea mashamba ama kubeba washabiki na badala yake wajifunze wenzao wabara wanavyotumia japo ni za kichina zile YUTONG za shabiby.

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  2. poleni jamani . hila sema kweli hizi hospital za kiafrica duh ndomana wagonjwa awaponi !1

    ReplyDelete
  3. Yakhe jamani mbona wanalala wawili wawili,au walilala hivyo ili watokee wote kwenye picha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...