Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika mkutano wa kampeni wa Jimbo la Donge uliofanyika leo katika Uwanja wa Mahonda kaskazini B Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Vijana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Mahonda Kaskazini B Zanzibar.
Wananchi, Wapenzi, Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Donge Kaskazini B Unguja, wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama hicho katika Uwanja wa Mahonda Kaskazini Unguja leo
Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi CCM, wakicheza Rusha Roho kwenye mkutano wa kampeni za CCM Jimbo la Donge kaskazini B Unguja Uliofanyika leo katika uwanja wa Mahonda Zanzibar, ambapo Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein alihutubia kwenye mkutano huo.
Umati wa wapenzi na wanachama wa CCM Zanzibar,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho, Dk. Ali Mohamed Shein wakati akihutubia kwenye mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bro umejaza kijani na njano to kwenye blog, ama kweli ww thithiem!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...