






Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gud 4 Kenya, wakifanya kila jitihada za kuleta umoja wa kitaifa.
ReplyDeleteNAWEWE NASIUSEME TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA,MZEE ODINGA ALIKUWA NI SHUJAA WA KENYA HAKUWA NA SIKU YAKE.TUKAONA TUWEKE MAMBO SAWA
ReplyDeleteHongera sana wakenya kwa kusheherekea siku ya mashujaa.Mashujaa hawa si wa Kenya tu bali wa waafriko wote, and I feel proud.
ReplyDeleteI am always intrigued by the Mau mau struggle, please tell us more about that effective resistance.
Tumemsoma sana Dedan Kimathi where is he buried?
Achana huo ushabiki wa insinuations, eti, "NAWEWE NASIUSEME TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA..."
ReplyDeleteHayo ya kudai, "...TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA..." ni outside the context ya hicho mtundikaji alichotaka kutuelewesha!
Zaidi, ameandikwa hapo juu:
"...wananchi wa Kenya waliojitokeza katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi kuhudhuria sherehe ya mashujaa. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo."
Mwenye akili timamu atatambua kuwa hata Jaduong Jaramogi Odinga Oginga naye anakumbukwa!
Oriti!
Ankal, shukrani, and thanks a million for sharing some tid-bits of how our East African neighbours celebrated their Heroes Day (Siku Ya Mashujaa) for the first time in their nation's history.
ReplyDeleteI hope and pray that this is one of the signs of many good things that will come out of Kenya in its post '2010 Constitution' era.
IMHO, all things considered, I would say that it was very unfair and unpatriotic to exclude or even ignore the combined valiant efforts of all the unsung heroes and heroines of Kenya, especially those who either contributed toward the struggle for indepedence in one way or another, those who gave up their livelihood as well as thousands who lost their lives during the vicious and bloody campaigns for Kenya's Uhuru (independence).
So, it was right and fitting to see that Kenyans had agreed to come up with an inclusive day named "Siku Ya Mashujaa" as opposed to the previous "Kenytta Day" where only one individual was remembered, celebrated and honoured at the expense of all the unsung national heroes who were involved in the struggle from various regions of Kenya.
National re-education is a very vital aspect for any nation that really cares for its past as well as for its future.
Congratulations and best wishes to our neighbours (Kenyans) as they continue with the long walk to freedom. "Rome was not built in a day."
NB: Ankal, naomba usisahau kutuletea ujumbe kama huo kutoka kwa jirani zetu wa Uganda pamoja na Rwanda, wakiti sherehe zao zitakapo wadia.
Shukrani and thanks-a-million.