MAHALI : LEATHER LOUNGE
MUDA : 1 usiku - 7 na nusu usiku
(onwa ataongeza lisaa na nusu kama party ita happen)
KIINGLIO : Rs.500
Rs.600
AGENDA
1. saa 1 - saa 4
2. saa 4 na nusu - mwisho
3. MR AND MRS FRESH YEAR
Karibuni nyote... joeni tuwakaribishe watanzania wenzetu kwa shangwe....
Wananchi mnaombwa mtoe michango yenu kwa viongozi kweney idara zenu kabla ya 06\10\2010..
KOTHRUD - CAPTAIN MAN MAUGO - 9561673746
- JAH PRESIDENT - 9975611365
SANGVI - ALBERT - 9096125446
- SAUDA - 9503740242
KONDHWA - ANDREW - 9545939210
- HELGA - 9730823359
MUNDHWA/KP/BANER/OTHERS - JAH PRESIDENT - 9975611365
kiingilio getini itakua RS.600. Tafadhali tusisumbuane... Hamna Discount/Kujuana/Staff/Uogonzi... KILA MTU
ANALIPA THIS IS BUSINESS NOT PERSONAL.. kama hujatoa mchango, do so quickly...
Katika swala zima la msosi.. tusidanganyane kwamba mtakuta mapizza, maburger, maribs na mazagazaga ya hatari.
ni klabu ya kihindi hence, VEG kasoro kuku... lakini ondoeni hofu kwani dada yetu HELGA ATAKUA NA WAPISHI
ASUBUHI HIYO AKIWAELEKEZA KUPIKA MISOSO ILE ILE LAKINI KIBONGO STLYE...
orodha ya menu ina include:
1.Ubwabwa
2.Butter Chicken
3.Kuku wa kukaanga
4.Chapati
5.Chipsi
6.Chachumbari
Party itaanza rasmi saa 1 usiku ambapo by saa 1 na nusu watu wataanza kula msosi mwisho wa ku-serviwa msosi
itakau saa 4 na nusu usiku... kwa hiyo TAFADHALI TUZINGATIE MUDA...
saa 4 na nusu watu wataanza kuserebuka... Viongozi wawili\watatu watukuwepo wanatembeza FREE SHOTS ndani
ya club. Vinyaji vingine vitauzwa counter.
PLEASE NO SMOKING INSIDE THE CLUB....
Kabla party itaisha itafanyikana survey ya kumtabua MR & MRS FRESH YEAR.... njoeni MMPENDEZA...
TAFDHALI FORWARD HII MESSAGE KWA WABONGO WENZENU...
endapo unamtabua mtu ambayo ajapata hii message on EMAIL ama FACEBOOK...
1.mfowadie
2.mwambie atume NAME/NUMBER/EMAIL to 9975611365
AMANI KWA WOTE
LETS MAKE IT HAPPEN....
1LUV
--
Tanzania Students Association Pune.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mhhhh, ahsante kwa kutujuza haya mkuu

    ReplyDelete
  2. Duh! Kweli hiyo ni business manake biti lililochimbwa si la kitoto kudadadeki!

    ReplyDelete
  3. Kwani hili tangazo limeandikwa na mhindi? manake mmh!

    Mkwara utafikiri watu wanaalikwa vitani!

    ReplyDelete
  4. Ndio Mr. Preizooo.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...