Home
Unlabelled
JK amnadi Rostam Aziz Igunga leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sawa
ReplyDeleteMasikini Tanzania nchi yangu!
ReplyDeleteNi aibu kwa Taifa, ni aibu kwa watanzania, ni aibu kwa Rais kumnadi Rostam Aziz. Ni ni ambacho tunawaambia watanzania maskini wanaotaabika kwa matendo ya kifisadi yanayofanywa na mtu huyu na genge lake? Unawaambia nini wale wanaokosa maji, dawa, elimu bora, chakula na makazi bora kwa kucheka na kutabasamu na RA mbele ya umati? Utu upo wapi? Kwa nini tunawafanya watanzania maskini na hohehae ngazi ya kupandia kwenye madaraka na kisha kuwakumbatia maskini? Inasikitisha sana!
ReplyDeletehuyu prezidaa sasa anafika mbali,kweli nchi imeuzwa.
ReplyDeletenaam Igunga,
ReplyDeleteHapo ndio nilipopata Elimu ya msingi. Nimesoma shule ya Msingi Iginga, al maarufu kama "Msingi", Namkumbuka Rostam alivyokuja kuomba kura mara baada ya kufariki kwa Mh Charles Kabeho. Rostam, tulimuuita "mburushi", ndo kwanza alikuwa ametoka USA kupata MBA yake, tukaona, vipi huyu msomi wa kiburushi anakuja kuchezea vumbi huku? Duh kumbe he was Clever, i think by now i understand, i wish to do an MBA like his. Salaam kwa wa Igunga wote, kuanzia Itumba hadi Mbutu, Makomero hadi Mwanzugi, Vipi wale wa Chipukizi mpo? nasikia stendi imejengwa kule karibu na uwanja wa mpra, nakumbuka timu zetu za Irrigation (Mhindo Msola), Town Stars, Kurugenzi, wachezaji kama kina Noah Kilimanjro etc, nita rudi tena, wasalamie pia kule "Uarabuni", vipi ilie ngome ipo bado? maana ilikuwa uarabunikweli.
Mdau Kiwoso UK
Duh! kazi kweli kweli, watu corrupt kishenzi lakini wanapigiwa kampeni na ccm. nchi hii imeharibika sana yaani watu hawana hata aibu, jamani hivi mpaka mtu ashikwe red handed ndo tuamini kuwa ni ma-corrupt? lowassa, rostam na mramba hawa tunawajua kuwa ni wezi.
ReplyDeleteWewe Mdau Kiwoso wa Uk ..Ni mjinga kupita maelezo.Sasa kiparagraph chote hicho,I thought utamake sense kumbe unatuma salaam.Michuzi didn't post them pictures and Info for you to write mindless things but to comment regarding the news.Mwenzio ana MBA wewe utaishia kuosha vyombo..Halafu kwanini unamsifia wakati he do corruption anyway.n.I wonder why you have to ask them damn questions.You just pissed me off big time.I wish I could meet and give you a good punch on your stupid face.
ReplyDeleteSemaa, usiogope semaa!
ReplyDeleteSafi sana JK. Pigia kampeni watu safi waendelee kukusaidia kujenga taifa letu. Watu wenye wivu wa kike ni wa kuwaEPA kabisa.
Ari zaidi
NGUvu zaidi
KAsi zaidi!
ACHENI UBAGUZI NA UMBEA!
ReplyDeleteHE IS STILL INNOCENT UNTIL HE IS PROVEN GUILTY!
Kama unayo data za uhakika zimwage basi, sio kumhukumu moja kwa moja!
ACHENI UBAGUZI NA UMBEA!
ReplyDeleteHE IS STILL INNOCENT UNTIL HE IS PROVEN GUILTY!
Kama unayo data ya uhakika zimwage basi, sio kumhukumu moja kwa moja!
Watanzania bwana mnachekesha sana....mnashangaa nini kwani...kuna cha ajabu hapo??? hata ningekuwa mimi watu wangu wa karibu lazima niwape shavu hata kama wakitafuna nchi yote....washkaji wa karibu ndio watakao kuokoa....hata kama wakiwa mabedui kiasi gani ningewapa maisha...nyie endeleeni kuosha vinywa weee mpaka mwisho...then mkasiamame masaa matano kwenye mistari ya kupiga kura...MWISHO WA SIKU NCHI INA WENYEWE..NA KWA TAARIFA YENU WAWILI KATI YA HAO MAFISADI WATARUDI SERIKALINI KAMA MAWAZIRI!! MTAKOMA!
ReplyDeletechaos JT
mie simlaumu RA,nalaumu wanaompa kura.Hajawahi kuongea bungeni
ReplyDeleteMpewa hapokonyeki.
ReplyDelete(US Blogger)
Chadema,hamtaingia Ikulu na wala hamtakuwa na wabunge wengi!
ReplyDeleteKuna kilio na kusaga meno!
Wewe "Tarehe Sat Oct 02, 12:32:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeletemie simlaumu RA,nalaumu wanaompa kura.Hajawahi kuongea bungeni"
Rostam is more business man than a politician. Angalia picha ya kwanza hapo anavyotambulishwa na JK yaani jamaa hadi anaona noma mwenyewe. Ila ndio Mbunge anayepita bila kupingwa tokea achukue jimbo toka kwa Kabeho. Hajawahi kuuliza swali au hata ku comment chochote bungeni. Haitaji kufanya hivyo kwani anajua atashinda tuu kwa kishindo.