JK akipokewa kwa shangwe uwanja wa Ilulu mjini Lindi ambako kwa mujibu wa wakaazi wake haijapata kutokea uwanja huo kufurika namna hiyo
JK akimnadi mgombea ubunge Lindi mjini
Mh. Mohamed Abdulrahmani katika mkutano huo wa kampeni

JK akishuka kwenda kuhutubia umati huo
JK akisalimia umati huo
JK akiongea na mbunge wa Mchinga aliyemaliza muda wake Mh. Mudhihir Mudhihir ambaye pamoja na Mama Anna Abdallah (wa pili shoto) ndio wazee wanaosimamia shughuli za kampeni mkoani Lindi
TEMCO kama kawa walikuwapo kushuhudia
JK akihutubia umati huo
Sehemu yote ya katikati ya uwanja wa Ilulu ilikuwa imefurika








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. JK HAUNA SABABU YA KUFICHA MAJINA YA WANAOTUMIA UDINI KWENYE KAMPENI ZAO, WANANCHI TUNAPENDA TUWAJUE KWANI SISI HATUYASIKII HAYO KWENYE KAMPENI ZAO.

    ReplyDelete
  2. Mbali na kutakiwa kutaja majina ya wanaotumia dini kwenye kampaini vile vile uwezi kusema kavunja record wakati wagombea wote hawajafika uko, ungesubiri wote wafike ndo useme katika wagombea wote kavunja rekodi

    ReplyDelete
  3. Kwani ni chama gani ambacho wagombea wote wa ngazi za juu ni dini moja?

    ReplyDelete
  4. JK HAWEZI KUTAJA MAJINA YA WANAOHUBIRI UDINI. SABABU KUBWA NI KWAMBA NI MUOGA. LABDA AMPE KIBARAKA WAKE MICHUZI AMTAJIE

    ReplyDelete
  5. kwa taarifa yako nusu ya hao watu wanachagua chadema.

    ReplyDelete
  6. mbona michuzi hutuwekei kampeni za bwn slaa?????? kwakweli za kampeni za jk hazina mvuto kama slaa jamani, msema ukweli ni mpnzi wa mungu. kaka michuzi uwe unatundikia na za slaa pia, naomnba kuwasilisha

    ReplyDelete
  7. watanzania wengi wanaishi vijijini na vijiji awajaamka kama watu wamjini , kwa aliye kuwa kijijini hata vote CCM piga ua !! kikwete lazima ashinde hatakama hatutaki na tusio mtaka tupo mjini .wapizani wakitaka kushinda inabidi elemu ipelekwe vijijini .

    ReplyDelete
  8. JK, Tunakupenda na kwa nguvu za Muumba wengi wetu tutakuchagua tenu na utashinda na mahaters (kyadema)watameza matongo yao!!!! Mangelepaa.

    ReplyDelete
  9. Bro Michuzi, una uhuru wa kuripoti unavyotaka. Wasiopenda nawaambia get the **** out of this blogspot. Tayari chadema mna gazeti la citizen na mwananchi, sasa bado mnataka watanzania wote tuwe watumwa wa matakwa yenu ya chuki? Never ever. Hatutasalimu amri yenu za kichuki. CCM DAIMA!!!! ccm4lyfe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...