Habari za leo Kaka Michuzi,
Nilikuwa nataka kutangaza mazishi ya baba yangu mkubwa Kanali Jonathan Ishemo ambayo yatafanyika kesho jumanne(26.10.10) kuanzia saa tano asubuhi nyumbani kwake Tegeta salasala ambapo zitatolewa heshima za mwisho na mazishi yatakuwa kwenye makaburi ya kinondoni saa tisa mchana.
Natanguliza shukurani

Habari ya kusikitisha sana, MUNGU RIP Afande Ishemo
ReplyDeletePoleni sasa kwa msiba huu mzito, Mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuipumzisha roho yake peponi. Amen
ReplyDeleteHe was such a great man. Loving and caring for people he knew and also for people he didnt know. May almight lord rest this beautiful soul in eternal Peace.
ReplyDeleteAmen.
Patricia, Masika and Atu adn Madeline, please hold on to Jesus. You will recover your loss. I will pray for you guys. And Mama Ishemo too
Tutakukumbuka daima,ulikuwa na upole,mkarim na mtu wa watu.Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehem wetu mahari pema peponi-Amen
ReplyDeleteCarlos M
Upumzike kwa Amani dear Baba.
ReplyDeleteI.W.R..ALLAH amepitisha rehema zake..sote tumshukuru ALLAH kwani kila nafsi itaonja mauti..Tupo pamoja na familia ya Kanali Ishemo na tunamuomba ALLAH Ailaze mahala pema peponi roho ya mpendwa wetu
ReplyDeletePole sana mama ishemo( koku) kwa msiba mzito uliokupata na familia yako. Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
ReplyDeletec.z
poleni sana, ingawa siwafahamu lakini nilipoona tu picha na ujumbe moyo wangu uliguswa sana. bila shaka bwana huyu ni mwema. poleni sana ni kazi ya mungu. mariam.
ReplyDelete